Nyumba tamu
Hata 1.95 itatoshaUkiondoa hilo gari na ungo ni kama milioni 19.5 tu.
Mama haijawahi kutokea. Gharama kubwa huwa ni slab ya juu, Kuezeka hivyo Vigae vya nabaki Afrika, pamoja na finishing.Ukisimamia wewe mwenyewe, vifaa ukanunua mwenyewe, mafundi ukawalipa kwa siku ukajenga pole pole bila haraka 130 -150 maxmum zinatosha.
Ongezea vifaa vya ujenzi kama mabati, cement misuri nk vina bei kubwa vijijini kuliko mjini.Tofauti iliyopo ni bei ya kiwanja mjini na kijijin ni tofauti na gharama za mafundi pamoja na tofali vingine vyote vinakuwa constant
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Na kusafirisha pia ni gharama.Ongezea vifaa vya ujenzi kama mabati,cement misuri nk vinabei kubwa vijijini kuliko mjini
Kama anatoka kijiji kama Hai ghorofa ni kawaida.Unataka kurogwa?
Akijenga pamoja na Hilo gari na huo ungo gharama itakuwa ngapiUkiondoa hilo gari na ungo ni kama milioni 19.5 tu.