Picha: Kujenga nyumba kama hii kwa kijijini inaweza kugharimu kiasi gani kwa makadirio?

Picha: Kujenga nyumba kama hii kwa kijijini inaweza kugharimu kiasi gani kwa makadirio?

Mkaruka

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
19,629
Reaction score
34,199
👇👇👇

FB_IMG_1621711428180.jpg
 
Tofauti iliyopo ni bei ya kiwanja mjini na kijijini ni tofauti na gharama za mafundi pamoja na tofali vingine vyote vinakuwa constant.

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Ukisimamia wewe mwenyewe, vifaa ukanunua mwenyewe, mafundi ukawalipa kwa siku ukajenga pole pole bila haraka 130 -150 maxmum zinatosha.
Mama haijawahi kutokea. Gharama kubwa huwa ni slab ya juu, Kuezeka hivyo Vigae vya nabaki Afrika, pamoja na finishing.
 
Kijiji gani Gharama za kujenga zinategemea mazingira ya kijiji kuanzia upatikaniaji wa material na eneo lenyewe..

Kwa mfano mdogo kwa kijijini kwangu ni mlimani hivyo magari hayafiki katika ujenzi Gharama zinakuwa mara mbili. Material yakishuhwa inabidi uwape kazi vibarua ya kupandisha material mpaka eneo la ujenzi..
 
Back
Top Bottom