Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kushindwa HO2 mjini hapa si mchezo. Long live dr billionaire.Jamaa alikuwa HB sema vodka za kwa Putin zimemchakaza kweli!
Ilikuwa ni miaka ya 1970s mitaa ya urusi,,,,,na sasa hivi ni bilionea mkubwa sana[emoji3] [emoji3] [emoji23]![]()
![]()
Mkuu ukiwa mrs Shika una shared ownership ya nyumba za Lugumi.Saiv mabinti wa bongo wanamuona kama anavoonekana kwenye picha
Na ww unaamini kabisa hio ilikuwa 1970?Shika kashikilia mutoto [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
Alikua bishoo daah
Urusi sio kuzuri kabisa sasahivi hata meno hana
Wabongo ukiwaletea jambo hata hawaulizi wanaaminiJamaa alikuwa vizuri sana kiukweli kiakili na body structure.
Come on! Hizo nguo tumezivaa sana miaka hiyo ya 70. Nguo hizo huwa zinakuja na kuondoka, zinakuja na kuondoka, zinakuja na kuondoka miaka na miaka. Hiyo ni picha ya Dr Shika mwenyewe kabisa katika miaka hiyo.Na ww unaamini kabisa hio ilikuwa 1970?
Huyo jamaa anaitwa phillipoCome on! Hizo nguo tumezivaa sana miaka hiyo ya 70. Nguo hizo huwa zinakuja na kuondoka, zinakuja na kuondoka, zinakuja na kuondoka miaka na miaka. Hiyo ni picha ya Dr Shika mwenyewe kabisa katika miaka hiyo.
Watu hawajui kama fashion znakuja nna kuondoka pia picha za urusi miaka hyo hazikuwa sawa na tz,,,,,,msibishe jaman toeni hoja nyingneCome on! Hizo nguo tumezivaa sana miaka hiyo ya 70. Nguo hizo huwa zinakuja na kuondoka, zinakuja na kuondoka, zinakuja na kuondoka miaka na miaka. Hiyo ni picha ya Dr Shika mwenyewe kabisa katika miaka hiyo.
bwana we kuna mambo ya kuumiza kichwa, me nshaona anafanana nae safi tu...sababu trending yake its an enjoyment to me, i dnt take things like this serious!Wabongo ukiwaletea jambo hata hawaulizi wanaamini
Sasa hio picha kwa kuitizama ni ya 1970 au ya juzi tu
Acha uongo blaza huyo dingi alizaliwa 1969 sasa iweje picha za 70's ziwe hivo??Ilikuwa ni miaka ya 1970s mitaa ya urusi,,,,,na sasa hivi ni bilionea mkubwa sana[emoji3] [emoji3] [emoji23]![]()
![]()
plus kitenge au kitambaa cha makenzi.. inaonyesha jamaa alikuwa anavaa wakati ujao..Hilo shati alilovaa na quality ya picha na raba haviendani na miaka ya 70's. ukitumia 0.00% ya akili utagundua kuwa huyo sio dr.