Avatar
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 11,128
- 11,921
Hatari sana mkuusio kweli huyo jamaa anaitwa philipo mrisho alimaliza jitegemee miaka ya 2010 akaenda chuo cha sanaa bagamoyo saivi atakuwa yupo nje kama sijakosea
unaweza kupitia account yake ya Facebook
hapo chini nimeshangaa wanajf kushindwa hata kufanya reasoning kidogo kuanzia mavazi hata quality ya picha na enzi za miaka ya 1980's
Philipo Mrisho| Facebook
![]()