Hatari sana mkuusio kweli huyo jamaa anaitwa philipo mrisho alimaliza jitegemee miaka ya 2010 akaenda chuo cha sanaa bagamoyo saivi atakuwa yupo nje kama sijakosea
unaweza kupitia account yake ya Facebook
hapo chini nimeshangaa wanajf kushindwa hata kufanya reasoning kidogo kuanzia mavazi hata quality ya picha na enzi za miaka ya 1980's
Philipo Mrisho| Facebook
Umeambiwa miaka ya 80 halafu unasema 70 ili ulete ligiHizi picha siziamini ...1970 kweli mbona mitoko hii kama ya miaka ya 2000
Asante kwa evidence make tushafungwa kamba hapasio kweli huyo jamaa anaitwa philipo mrisho alimaliza jitegemee miaka ya 2010 akaenda chuo cha sanaa bagamoyo saivi atakuwa yupo nje kama sijakosea
unaweza kupitia account yake ya Facebook
hapo chini nimeshangaa wanajf kushindwa hata kufanya reasoning kidogo kuanzia mavazi hata quality ya picha na enzi za miaka ya 1980's
Philipo Mrisho| Facebook
Ila nakumbuka pamoja na kutuongopea mwanzoni aliandika 1970.....atakuwa kaedit matango pori yakeUmeambiwa miaka ya 80 halafu unasema 70 ili ulete ligi
Unachokiona porini huku majuu kimeanza long time.Mmmm shati zilikuepo kipindi hicho
Jamaaa umeumbuka usione jf ni kauchochoro kuna watu wana details za watu....Ilikuwa ni miaka ya 1980s mitaa ya urusi,,,,,na sasa hivi ni bilionea mkubwa sana[emoji3] [emoji3] [emoji23]
Mods ningeomba jamaa apewe BAN kwa kuleta thread YA uwongo..... Mkiacha tabia kama ihii iendeleee jukwaa linakosa amasa kwa sababu watu wataona jf ni sahemu YA utani utanisio kweli huyo jamaa anaitwa philipo mrisho alimaliza jitegemee miaka ya 2010 akaenda chuo cha sanaa bagamoyo saivi atakuwa yupo nje kama sijakosea
unaweza kupitia account yake ya Facebook
hapo chini nimeshangaa wanajf kushindwa hata kufanya reasoning kidogo kuanzia mavazi hata quality ya picha na enzi za miaka ya 1980's
Philipo Mrisho| Facebook
Zilikuwepo ndugu... Mwenyewe nilikuwa nazoMmmm shati zilikuepo kipindi hicho
Naungana naweweHilo shati alilovaa na quality ya picha na raba haviendani na miaka ya 70's. ukitumia 0.00% ya akili utagundua kuwa huyo sio dr.
Naungana nawewe
Ilikuwa ni miaka ya 1980s mitaa ya urusi,,,,,na sasa hivi ni bilionea mkubwa sana[emoji3] [emoji3] [emoji23]
Watu mnajua kusisitiza uwongo! Za kuambiwa changanya na za kwako.Come on! Hizo nguo tumezivaa sana miaka hiyo ya 70. Nguo hizo huwa zinakuja na kuondoka, zinakuja na kuondoka, zinakuja na kuondoka miaka na miaka. Hiyo ni picha ya Dr Shika mwenyewe kabisa katika miaka hiyo.
Kwahiyo game limegeuka siku hizi toka Tanga kwenda Klm?Sasa ndio wanaongoza tena wao wapo kifamilia zaidi hawataki utani ukikamatwa vizuri lazima uowe