Picha: Kwanini wanaume siku hizi hawawafukizii sana wanawake kama zamani? Shida ni nini?

Picha: Kwanini wanaume siku hizi hawawafukizii sana wanawake kama zamani? Shida ni nini?

ngoja ninywe kwanza niongeze misamiati ya the English nikirudi itafahamika mimi na wewe who is muungwana!..🤣
Kunywa chipapa huwa ina ngeli tamu inaflow tu..!! 😹
 
Kama ni kwa ajili ya kuoa,sawa!

Kuosha rungu tu nako ufukuzie miezi!!
 
Ahahahah..sema sis wanaume sijui tulirogewa nini kwa mwanamke. We always feel the urge to have someone ambaye anakua ana spend your money.sijui kwann. Sijisikii kuji attach kwasasa ila kuna haka kamtu naona kama neema imekaangukia kajilie tu vyangu very effortlessly. 😂. Sema kuna raha flan huwa tuna pata kuhudumia hawa jinsia pinzani, ndio vile tu hawaelewekagi walichoongea na nyoka pale edeni, maana dakika 1 mbelee 😅😅 wanaku chenjia
 
Ila wanakubandua Kila siku
1743012395755.png
 
Miaka ya 1990's kurudi nyuma,ukiwa unafukuzia demu unakuwa upo pekee yako na yeye wakati ukimtongoza na ukaonyesha una nia na dhamira ya kuwa nae then atakuwa amekuwekea nafasi yako kiasi kwamba akitokea mtu mwingine kukutongoza atamwambia kwasasa nipo na fulani basi.

Na pia kulikuwa na uwezekano mkubwa wa kumkuta binti aidha ameliwa mara moja tena ni ile ya mikiki ya kutoana bikra au uhusiano haukuwa na maisha marefu. Then wewe ndio unaingia.

Plus hakukuwa na gharama kumfukuzia demu,zawadi zilikuwa ni very cheap. Maua,kadi za ujumbe mtamu, barua za mahaba na dedication za nyimbo. Hakukua na mambo ya unipeleke saluni ingawa saluni zilikuwapo, hakuna mambo ya kutaka kununuliana nguo,kulipiana kodi,kuombana hela kipuuzi puuzi kama sasa na zaidi ya yote wanawake walikuwa wanajiweka katika uhusiano kwa jitihada zote na wanawakuwa focused na mahusiano 100%.

Siku hizi hakuna wanawake wapenzi,kuna wanawake wadangaji au malaya.

Anatongozwa na wanaume 10 na wote anawakubalia maombi yao halafu anaanza kuwachuna ili kujipatia chochote kitu.

Wanawake wanaona ni sifa ya mahusiano kupewa vitu hata kama hana shida navyo na si muhimu. Kuna wanawake leo wamewaacha wanaume serious kwasababu ya kuendekeza tamaa za vitu vidogo sana ambavyo havina maana kwenye maisha.

Wanaume hawawezi kimbiza kitu ambacho hakina hadhi wala umuhimu wa kukikimbiza hata iweje.
 
Nadhani wameamka kufukuzia kiungo kinachotoa takataka
 
Back
Top Bottom