Picha: Kwanini wanaume siku hizi hawawafukizii sana wanawake kama zamani? Shida ni nini?

una Chase nini wakat ukimtongoza asubh jioni unaambiwa mume wangu nimekumis, zamani kupata tu huo ukaribu achilia mbali kumtongoza ilikuwa shughuli,. mpaka aje magetoni jasho la meno limekutoka
 
umetoa jibu sahihi kwa namna ya kuchekesha
 
Wanaume rijali wamepungua
wengine wanataka kuwa kama wanawake walelewe na me wenzao nk
Wanaume wingi kupenda mabwabwa kuliko ke
Hayo nayo yanaweza kuwa ni chanzo cha wanaume kuto chase wanawake
Dunia imepinduliwa iko juu chini
K's are so cheap nowadays mkuu, leo mtu anapewa namba, leo mtu anapewa K. It's sad!
 
K's are so cheap nowadays mkuu, leo mtu anapewa namba, leo mtu anapewa K. It's sad!
Hili nalo ni chanzo wanawake tunapaswa kulitazama upya πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Kizazi kipya kina utofauti,wao wamekuta hali ya maisha imebadirika, watafutaji si wanaume tu bali hata wanawake.Hivyo ndoa za sasa ni kama ubia kwenye kutafuta hiyo pesa.
Ni vigumu kumuacha mkeo kwa sababu hizo.

Pili ngono nje ya ndoa yaani kuchepuka haina ugumu,utawaoa wangapi?

Tatu wanawake wana uvumilivu hata kama mume anachepuka,wao wanawake wamegeuka wajasili mali wazuri hadi kuchangia kuwasomesha watoto wao hata kujenga nyumba.

Nne watu wameelemika LAKINI mwanamke wa Kiafrika ametambua jambo mmoja kuu akimheshimu mume wake na kumthamini anakuwa anapalilia ustawi wa ndoa yake.
 
Hili nalo ni chanzo wanawake tunapaswa kulitazama upya πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Mmekuwa warahisi mno, sisi wazee tunakumbuka enzi hizo tulivyozungushwa, hadi unapewa jasho limekutoka.
 
Mmekuwa warahisi mno, sisi wazee tunakumbuka enzi hizo tulivyozungushwa, hadi unapewa jasho limekutoka.
Enzi hizo hupewi Hadi nyumbani kwao wakufaham na mda wakuonana mkayajenga ilikuwa ni mdogo haswaa,
Hawa wa siku hizi mkikaa kwenye daladala akaona misimbazi tu utaskia nashuka kituo unachoshuka wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…