Picha: Kweli ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi. Vita ya week 2 tu Trump ashakuwa hivi!!

6 Pack

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2022
Posts
3,952
Reaction score
8,807
Niaje waungwana

Kwa sasa Trump asha panic, anagombana na kila nchi ili apate msaada wa kupambana na Iran.

Iran hii ambayo yeye (Trump) alipoingia madarakani 2016 - 2020 aliiongezea vikwazo vikali mno ili kuidhoofisha kijeshi na kiuchumi.

Iran hii ambayo maraisi wote wa Marekani, na washirika wao wa Ulaya waliitenga, na kuiharibu kiuchumi kupitia vikwazo uchwara, ili siku 1 waje kuichapa usiku mmoja tu, na asubuhi waamke wamemuweka puppet wao madarakani.

Iran ambayo Trump aliamini ameizunguka kijeshi, hivyo angeweza kupiga ambush 1 tu, na jeshi lote la Iran kutawanyika. Kisha wao waingie kufanya operation yao kiulaini kama Venezuela.

Iran ambayo CIA na Mossad walimdanganya Trump kwamba imedhoofika kijeshi na ki silaha. Hivyo wakiiwahi kwa kupiga sehem muhimu za jeshi, na kuuwa viongozi wakuu, haitakuwa tena na uwezo wowote wa kurusha risasi wala fataki juu.

Sasa kumbe yote waliyopanga dhidi ya Iran, ilikuwa ni kaburi lao wenyewe. Haiwezekani kuwawekea vikwazo uchwara watu wenye akili za kuzaliwa toka miaka 6000 iliyopita BC.

Vikwazo vya aina hiyo vinafanya kazi kwa zile nchi za hovyo zilizoundwa na wakoloni wenyewe kama vile Cuba, Venezuela, Guatemala nk.

Leo jeshi la Marekani ambalo linajiita Super Power linahaha huku na kule bila mafanikio yoyote. Yani majeshi ya nchi 2 za Marekani na Israel yameshindwa kumiliki hata Strait of Hormuz, sembuse nchi nzima ya Iran yenye jeshi imara na hatari zaidi hapa duniani!

Hii vita Trump imemshinda, lkn kwa vile aliianzisha mwenyewe anashindwa kusema ukweli.

So kilichobaki kwake ni kumalizia hasira zake hata kwa nchi ambazo zilimshauri asithubutu kuingia vitani na taifa hilo kongwe lenye historia ya kutoshindwa vita na nchi yoyote ile hapa ulimwenguni.

UK, Ufaransa Germany na nchi zingine za magharibi kukwepa kwao kushiriki kwenye vita hii sio wajinga. Wana vyombo vya vya intelejensia vimeshawapa taarifa ya uwezo mkubwa wa kijeshi iliyo nao Iran hadi kufikia hatua ya kufunga njia ya bahari bila kujali wala kuogopa nchi yoyote.

Bila shaka vyombo vya intelejensia vishawambia viongozi wao kwamba jamaa ana nuclear, ila hawezi kutangaza kwa lengo la kutaka apunguziwe au aondolewe vikwazo vilivyowekwa na UM.

Kumbuka hakuna mtu anaependa vikwazo. Ila ukiwekewa utaishi navyo hivyo hivyo kimkakati.

Week 1: Tunaenda kushinda hii vita siku chache zijazo.

week 2: UK haina haja ya kutuma msaada wowote kijeshi, maana tumeshamaliza vita na tumeshinda.

Week 3: Tunaomba UK na nchi zingine rafiki zije zitusaidie kupambana na Iran ili kufungua Strait of Hormuz 🤣🤣🤣🤣

img_2_1773658378191.jpg
img_1_1773683095422.jpg
 
View attachment 3558751View attachment 3558754
The Orange man yuko hoi!
Yote ni tamaa ya hela tu!
Analazimisha Iran kuomba suluhu, USA haijawahi kuwa na kiongozi mbovu kama huyu!
Kuanza UNYAMA wake na ICE, ubaguzi wa rangi hasa kwa watu weusi, tariffs, UMAUMBA wake, akili na maamuzi ya KITOTO, kujifanya msuluhishi wa vita kumbe mwizi tu, kuweka majina yake kwenye taasisi, ujinga ujinga wake wa kipumbavu na kuzarau sheria za kimataifa!
Na bado...
 
Acha Iran wamfunze adabu ili siku nyinyine asithubutu kutia mguu kwenye nchi za watu hovyo hovyo 🤣🤣🤣
 
Ni Rais wa mihemko na kukurupuka
Asiesikia la mkuu, huvunjika guu.

Alionywa mapema kuwa Iran sio Venezuela au Greenland, akashupaza shingo hakutaka kusikia. Sasa leo anapigika peke yake wenzake wanamchora tu 🤣 🤣 🤣
 
Back
Top Bottom