Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,489
- 5,764
unajua kama huyo trump ana kesi ya kubaka kile kibinti
mimi hawezi kwa sbb ambazo ww ujui lkn ww mleta mada zake ndo anaweza kukufanya hvyoKwa Trump hata wewe anakubaka kabisa. Huyu jamaa ni hatari na mbabe sana.
Wewe anakubaka kabisa jinsi ulivyoandika kwa woga hilo jambo. Nikaona kabisa wewe unaliwa. Sisi wanaume tunaangalia mambo ya kisiasa na uchumi. Nyie wanawake mnaangalia mibako. Mi ukijileta kizembe nakubakilia mbali. Ijumaa karibu Msikiti wa kwa Mtoro kama utakuwa katika siku nzurimimi hawezi kwa sbb ambazo ww ujui lkn ww mleta mada zake ndo anaweza kukufanya hvyo
Una mada za kitoto sana. Naanza kuutafakari umri wako kijana.View attachment 3700615
Hii ni Combination moja ambayo ni hatari sana inapotaka jambo lao. Kwa sasa hivi Dunia nzima inafuatilia kinachoendelea Israel na Usa.
Kuna swala zinafanyika sehemu mbalimbali za ibada za kuombea Netanyau asiendelee na Uongozi wake Israel kwa kuwa anatuumiza sana moyo na hasa tukio lake la Kumuua Hayatollah akiwa amejificha shimoni kama Panya.
Ni jambo ambalo limeendelea kuniumiza moyo kwa muda mrefu sasa. Kutakuwa na swala maalum ijumaa hii kumwombea huyu Mwamba afe kabisa kwa sababu ya machungu ambayo ametupatia so fa.
View attachment 3700615
Hii ni picha ambayo sitaki kabisa kuiona. Inaumiza moyo. Iran leo hii ndo ya kuwa ikilia lia na kubweka kama Mbwa koko? Hii ambayo tuliamini ingeifuta Israel? Kweli usilolijua ni usiku wa kiza.
una uhakika Iran inapigana peke yake?Sasa cha ajabu ni kipi hapo? Kwani hata Iran ikisaidiwa na China au Russia nchi gani hapo middle east itaipiga Iran?
Hao Israel waje kupigana wenyewe kama inavyofanya Iran ndio huu mjadala utafungwa ila hii ya kupigana nyuma ya mgongo wa USA alafu inajisifia ni utoto.
Wapambane wenyewe
Order out of chaos.View attachment 3700615
Hii ni Combination moja ambayo ni hatari sana inapotaka jambo lao. Kwa sasa hivi Dunia nzima inafuatilia kinachoendelea Israel na Usa.
Kuna swala zinafanyika sehemu mbalimbali za ibada za kuombea Netanyau asiendelee na Uongozi wake Israel kwa kuwa anatuumiza sana moyo na hasa tukio lake la Kumuua Hayatollah akiwa amejificha shimoni kama Panya.
Ni jambo ambalo limeendelea kuniumiza moyo kwa muda mrefu sasa. Kutakuwa na swala maalum ijumaa hii kumwombea huyu Mwamba afe kabisa kwa sababu ya machungu ambayo ametupatia so fa.
View attachment 3700615
Hii ni picha ambayo sitaki kabisa kuiona. Inaumiza moyo. Iran leo hii ndo ya kuwa ikilia lia na kubweka kama Mbwa koko? Hii ambayo tuliamini ingeifuta Israel? Kweli usilolijua ni usiku wa kiza.
Hadi sasa US na Israel zimepanga kupiga Nuclear facilities, mitambo mikuu ya umeme ya nchi, gas pamoja viongozi kadhaa.Order out of chaos.
Hii ni mbinu maarufu ambayo inatumiwa na vyama vya siri ambavyo ni maarufu USA, Western Europe pamoja na Israel.
Wakitaka kupenyeza agenda zao kwa maslahi yao ni lazima wakupige kwanza na kitu kizito kichwani kisha maumivu yakikuzidi na kukuelemea ndipo wanakuja mezani na mpango wa amani.
Mashariki ya kati inatafutwa kile ambacho kinajulikana kama mpango wa amani ya kudumu kati ya Israel na nchi majirani zake wengi wao wakiwa ni Waarabu. Chuki na uadui mkubwa kati yao ni wa siku nyingi huku wasuluhishi wengi walitokea na kushindwa kuleta suluhu.
Sasa mezani kuna Abrahamic Accords ikiungwa mkono na USA, Israel na mataifa kadhaa ya Kiarabu, kikwazo kikubwa ni Iran. Ni lazima atengenezewe majanga ili aweze kulegea na kisha kulazimika kuja kwenye mazungumzo ya amani ya kudumu.
Order out of chaos, ndiyo kete muhimu kufanikisha jambo hilo. Iran ategemee kibinyo zaidi kutoka kwa mabwana hawa wa vita ili Abrahamic Accords itekelezwe, look very attentive at this guy JARED KUSHNER
Ndio, sijaona China au Russia ikileta wanajeshi au ndege zake kuishambulia Israel au USA.una uhakika Iran inapigana peke yake?
Wapige mara ngapi? Mbona walishapiga karibu yote au Trump na Netanyahu walitudanganya? Si walisema wameshalipua nuclear capabilities zote.Hadi sasa US na Israel zimepanga kupiga Nuclear facilities, mitambo mikuu ya umeme ya nchi, gas pamoja viongozi kadhaa.
Nadhani unafahamu tokea 1979 Iran imepigwa stop kununua au kuuza bidhaa kwenye soko la kimataifa. Kwahiyo kama ni kuminywa kiuchumi huu ni mwaka wa 50 sasa.Kupiga sehemu kuu ya kuzalisha umeme, kutopatikana kwa maji ya kutosha, milango yao ya kuimport bidhaa ikipigwa stop, humo ndani Iran hapatakalika
Watoke mara ngapi? Au umesahau kuna maandamano feki yalianzishwa January hadi wakaletewa silaha na Trump kupitia kwa wakurdi ila mpango ukafeli. Hakuna kitu hakijatumika Iran labda nuclear pekeeKutokana na ugumu wa maisha, wananchi wanaweza wakaingia mtaani kushinikiza serikali ing’oke maana mbali na hapo ni sawa na wao kukubali kufa kwa njaa na kwa mateso ndani ya nchi yao.
View attachment 3700615
Hii ni Combination moja ambayo ni hatari sana inapotaka jambo lao. Kwa sasa hivi Dunia nzima inafuatilia kinachoendelea Israel na Usa.
Kuna swala zinafanyika sehemu mbalimbali za ibada za kuombea Netanyau asiendelee na Uongozi wake Israel kwa kuwa anatuumiza sana moyo na hasa tukio lake la Kumuua Hayatollah akiwa amejificha shimoni kama Panya.
Ni jambo ambalo limeendelea kuniumiza moyo kwa muda mrefu sasa. Kutakuwa na swala maalum ijumaa hii kumwombea huyu Mwamba afe kabisa kwa sababu ya machungu ambayo ametupatia so fa.
View attachment 3700615
Hii ni picha ambayo sitaki kabisa kuiona. Inaumiza moyo. Iran leo hii ndo ya kuwa ikilia lia na kubweka kama Mbwa koko? Hii ambayo tuliamini ingeifuta Israel? Kweli usilolijua ni usiku wa kiza.
Sawa shangazi yangu.Una mada za kitoto sana. Naanza kuutafakari umri wako kijana.