Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Mwenye Buti ni tajiri namba moja duniani Elon Musk na Mwenye Koti ni msanii maarufu nchini marekani Kanye West wakiwa kwenye picha ya pamoja. Wenzetu wanaishi maisha ya tofauti sana huwezi dhania status waliokuwa nayo namwonekano wao kwenye hii picha. Bigup to these bodies.
Japo najua Kanye West ndokamwomba Elon musk angalau apate picha ya ukumbusho. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Japo najua Kanye West ndokamwomba Elon musk angalau apate picha ya ukumbusho. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]