Picha la pamoja Elon Musk akiwa na Kanye West limenitafakarisha sana

Picha la pamoja Elon Musk akiwa na Kanye West limenitafakarisha sana

Uvaaji wetu mimi, Musk, na kanye west ni wakawaida sana kiasi kwamba ukitukuta mtaani kama hutujui unaweza ukatuchukulia poa tu

Tabu ipo kwa matozi na outfits zao za kariakoo baada ya mchongo wa sensa kutiki
Sijaelewa mbona unajiweka kwenye kundi moja na Kanye west unajitoa kwenye kariakoo outfits
 
Na hawana vitambi, wenzangu na mimi chips na mishkaki ya sele bonge na vibia viwili vitatu unakua na tumbo kubwa kama puto
Hizo ni tamaduni mzee kitambi ni kitu cha kujivunia kwa miongo mingi afrika na tanzania. Kiliheshimika na kinaheshimika kwa wengine ni umbo la kutapelia. Ni vijana wa mkongo ndo wanakiogopa.
 
Mwenye Buti ni tajiri namba moja duniani Elon Musk na Mwenye Koti ni msanii maarufu nchini marekani Kanye West wakiwa kwenye picha ya pamoja. Wenzetu wanaishi maisha ya tofauti sana huwezi dhania status waliokuwa nayo namwonekano wao kwenye hii picha. Bigup to these bodies.

Japo najua Kanye West ndokamwomba Elon musk angalau apate picha ya ukumbusho [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2334564
Hao wote wawili ni freemason ni wapumbavu tu na wapuuz.

Wafe tuu
 
Hyo picha ni edited..
Japo kwenye picha halisi, naona viatu vyao vya kawaida sana...karume 15,000 tu
 
Back
Top Bottom