Picha la pamoja Elon Musk akiwa na Kanye West limenitafakarisha sana

Picha la pamoja Elon Musk akiwa na Kanye West limenitafakarisha sana

Ukiwa na hela una wigo mkubwa sana kufanya utakalo
20220826_113942.jpg
20220826_114044.jpg
20220826_114107.jpg
 
Hakuna Adobe hapo, ni picha mbili tofauti zote walipiga japo kwa mda tofauti
Acha utani mkuu Una uhakika gani kuwa hizo picha zimepigwa wakati tofauti? hivi unashindwa kuelewa kuwa hiyo ni edit Kwa kuangalia tu?

Angalia kiatu cha kushoto cha Musk na Kanye the way vimekaa, hapo utaona tu kuwa hiyo ni edit na sio picha harisi

laiti kama hiyo picha ingekuwa harisi hivo viatu vingekuwa na mkao tofauti na huo, jiulize nusu ya kiatu cha Elon kimeenda wapi?

Watu tu wameamua kufanya edit kama utani Kwa Kanye juu ya fashion zake za mavazi na sio kweli Kwamba alimvalisha Elon hiyo Ndula
 
Back
Top Bottom