Picha la pamoja Elon Musk akiwa na Kanye West limenitafakarisha sana

Mwenye Buti ni tajiri namba moja duniani Elon Musk na Mwenye Koti ni msanii maarufu nchini marekani Kanye West wakiwa kwenye picha ya pamoja. Wenzetu wanaishi maisha ya tofauti sana huwezi dhania status waliokuwa nayo namwonekano wao kwenye hii picha. Bigup to these bodies.

Japo najua Kanye West ndokamwomba Elon musk angalau apate picha ya ukumbusho [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2334564
Kiatu cha mask na koti la west
 
Acha uchoko.. Elon Musk role model wake ni Kanyewest alisema mwenyewe kwenye moja ya interview zake [emoji23]
 
Mwenye Buti ni tajiri namba moja duniani Elon Musk na Mwenye Koti ni msanii maarufu nchini marekani Kanye West wakiwa kwenye picha ya pamoja. Wenzetu wanaishi maisha ya tofauti sana huwezi dhania status waliokuwa nayo namwonekano wao kwenye hii picha. Bigup to these bodies.

Japo najua Kanye West ndokamwomba Elon musk angalau apate picha ya ukumbusho [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2334564
... wawili hao wana common interest; wote mashabiki kindakindaki wa Donald Trump.
 
Na hawana vitambi, wenzangu na mimi chips na mishkaki ya sele bonge na vibia viwili vitatu unakua na tumbo kubwa kama puto
20220825_234614.jpg
 
Mwenye Buti ni tajiri namba moja duniani Elon Musk na Mwenye Koti ni msanii maarufu nchini marekani Kanye West wakiwa kwenye picha ya pamoja. Wenzetu wanaishi maisha ya tofauti sana huwezi dhania status waliokuwa nayo namwonekano wao kwenye hii picha. Bigup to these bodies.

Japo najua Kanye West ndokamwomba Elon musk angalau apate picha ya ukumbusho [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2334564
picha utadhani wamepigwa na Rick Ross.!
 
Back
Top Bottom