Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Una uhakika hiyo picha haiko edited?Mwenye Buti ni tajiri namba moja duniani Elon Musk na Mwenye Koti ni msanii maarufu nchini marekani Kanye West wakiwa kwenye picha ya pamoja. Wenzetu wanaishi maisha ya tofauti sana huwezi dhania status waliokuwa nayo namwonekano wao kwenye hii picha. Bigup to these bodies.
Japo najua Kanye West ndokamwomba Elon musk angalau apate picha ya ukumbusho [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2334567
Mimi nadhani zote walipiga ila ktk mavazi yenye umbo tofauti
Tesla...Mwenye Buti ni tajiri namba moja duniani Elon Musk na Mwenye Koti ni msanii maarufu nchini marekani Kanye West wakiwa kwenye picha ya pamoja. Wenzetu wanaishi maisha ya tofauti sana huwezi dhania status waliokuwa nayo namwonekano wao kwenye hii picha. Bigup to these bodies.
Japo najua Kanye West ndokamwomba Elon musk angalau apate picha ya ukumbusho [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2334567
Huyu ni Musk au space sio TeslaTesla...
Hatarii
Unamaana gani kusema hivyoKuna mstari mwembamba sana kati ya kuwa na akili mingi na vituko
Tesla ni nani?Huyu ni Musk au space sio Tesla
Space X, Tesla zote ni zake.... Na anajiandaa kuja na Tesla Phones.Huyu ni Musk au space sio Tesla
Upo sahihiSpace X, Tesla zote ni zake.... Na anajiandaa kuja na Tesla Phones.
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Hatari sanaNa hawana vitambi, wenzangu na mimi chips na mishkaki ya sele bonge na vibia viwili vitatu unakua na tumbo kubwa kama puto
Alitupoga kamba kumbe yenyewe imeoza umeikata
Huoni anayoyafanya elon apo na mwenzakeUnamaana gani kusema hivyo
Kwani shida iko wapi mbona fresh tu kwani bei ganiHuoni anayoyafanya elon apo na mwenzake
Hamna zote ni picha kwa mda tofauti mavazi yenye size tofautiAlitupoga kamba kumbe yenyewe imeoza umeikata
Machon mwangu naona sio kawaidaKwani shida iko wapi mbona fresh tu kwani bei gani
Wee jamaa utakuwa ni Muha. Hiyo uliyopost ww ni edit.Hamna zote ni picha kwa mda tofauti mavazi yenye size tofauti