Picha: Lift ya kwanza yazinduliwa Jijini Mbeya

Picha: Lift ya kwanza yazinduliwa Jijini Mbeya

Ni kweli mji haukuwekwa kwenye mipango miji kwa sababu maeneo yaliyojengwa kiholela yalijengwa tangu kitambo Sana lkn mitaa inayondelea saiz imepangwa vizuri,, na mpango was kulipanga upya jiji upo tangu mwaka juzi ko upo kwenye michakato,,nazani ikianza kujengwa hiyo barabara ndo wataunganisha kwa hiyo ni swala la mda tuu lkn mipango miji kwa hapo mbeya wazembe Sana Yani mpka kero sijui kwa nn,,,
Isanga, Soweto kila mtu anajenga anavojiskia, unaweza kukatiza chocho ukajikuta chooni kwa mtu na Mabatini kule dah

Ila kuupanga tena itawacost sana muda na pesa
 
Burj Al Mwakalobo Mafiati Towers
 
Attachments

  • dr.samsasali_20200427_080549_0.jpg
    dr.samsasali_20200427_080549_0.jpg
    29.1 KB · Views: 19
Isanga, Soweto kila mtu anajenga anavojiskia, unaweza kukatiza chocho ukajikuta chooni kwa mtu na Mabatini kule dah

Ila kuupanga tena itawacost sana muda na pesa
Ni kweli mpka ilem, airport na maeneo ya mwakibete na kule simike lkn mkataba ushasainiwa tayari na kampuni ya urban solution
Screenshot_20210209-135546.png
Screenshot_20210209-135736.png
 
Back
Top Bottom