Picha: Lift ya kwanza yazinduliwa Jijini Mbeya

Picha: Lift ya kwanza yazinduliwa Jijini Mbeya

Pia maeneo flani hv ya airport ✈️ niliwahi kuishi, ety unachota maji kwa mwezi mzima kwa bill ya 3k 😂😂😂 geto tulikuwa watu sita wanaume wa3 chumba chetu na wanawake wa3 chumba chao yn ilikuwa balaa tunachota maji ht ndoo 10 kwa siku.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ukilala bila kuoga ni wewe umependa au baridi maana airport kuna baridi htr,,
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ukilala bila kuoga ni wewe umependa au baridi maana airport kuna baridi htr,,
Yn yale maji ya mwisho ya kusuuzia nguo unaweza ht kupikia msosi
 
Yapo bhana ka Saba hivi 😂😂😂😂😂 ngoja nikutajie, NHIF tower ina ghorofa 12 na ndo ya Kwanza saiz kwa urefu,, tughimbe loyal hotel nyota nne ipo mafiati,,Kuna maranatha ipo mwanjelwa ghorofa 7,, Kuna NHC Ipo cbd, ghorofa 5, pia palepale mkbala na nhc kuna shop center ina floo 4 ina lift 😂😂😂 na kuna mengine kibao yanajengwa, kabwe lipo moja 8 floo,, soweto mkulu hotel floo 5,. Mama John kuna hotel 5 floo ishakamilika,. Mzumbe kuna hotel five floo,k's 7 floo, meta 6 floo,, mbeya region ofice five floo,,,kuna hotel ipo karibu na hospital ya mkoa five star na bado ambazo niliiacha zipo kwenye process hayo yote ni ya lift boss 😂😂😂 na ni ya kisasa kbsa ni four years tuu so karibu mbeya tena mkulu
Na chuo cha Mzumbe nao wana jengo lao lina floor 3 lina lift😂😂😂 Hili alizindua Magufuli mwenyew mwezi wa 5 Tarehe 1 2019 😂😂😂

K’s hospitali nao wana moja inamaliziwa soon, Ila Mbeya imechachamaa saiv😂😂😂😂😂
 
Wao waache waendelee kupiga porojo, wakustuka kumekucha na ndo wanavuta shuka 😀😀😀😀😀😀

Lift ambazo zipo mbeya hazifanyi kazi kuna ile ya Maranatha pale kuna mda wanazuia kutumia. Kuna siku nilienda pale nikapanda kwa mguu aisee arifu ni hatar
Nyingin ni ya K’s hospitali kwa sabab pale wanajenga ghorofa nyngn ambalo nahis litashabiiana na Maranatha
Ila mbeya kuna uzur wake lkn ubaya wa mbeya ni the way mji ulivojipanga😬😬😬
 
Mbeya moja ya majiji yenye gharama nafuu ya maisha📌
 
Lift ambazo zipo mbeya hazifanyi kazi kuna ile ya Maranatha pale kuna mda wanazuia kutumia. Kuna siku nilienda pale nikapanda kwa mguu aisee arifu ni hatar
Nyingin ni ya K’s hospitali kwa sabab pale wanajenga ghorofa nyngn ambalo nahis litashabiiana na Maranatha
Ila mbeya kuna uzur wake lkn ubaya wa mbeya ni the way mji ulivojipanga😬😬😬
Ni kweli mji haukuwekwa kwenye mipango miji kwa sababu maeneo yaliyojengwa kiholela yalijengwa tangu kitambo Sana lkn mitaa inayondelea saiz imepangwa vizuri,, na mpango was kulipanga upya jiji upo tangu mwaka juzi ko upo kwenye michakato,,nazani ikianza kujengwa hiyo barabara ndo wataunganisha kwa hiyo ni swala la mda tuu lkn mipango miji kwa hapo mbeya wazembe Sana Yani mpka kero sijui kwa nn,,,
 
Lift ya kwanza imezinduliwa jijini mbeya leo tarehe 10. Juni, 2014.

Picha No. 1: Jamaa anapiga Hodiiii kwenye mlango wa LIFT
Picha No. 2: Lift ikizinduliwa Rasmi na Mkuu wa Wilaya
Picha No. 3: Mkuu wa Wilaya (Mgeni Rasmi) Akikata utepe kuzindua Lift
Picha No. 4: Tangazo la kuwakaribisha wananchi kuja kusuhudia Tukio la uzinduzi wa lift
Source: ISSAMICHUZI BLOG
Nilishangaa siku mnyakyusa anamwambi Msukuma kua mshamba
 
Kaazi kweli kweli Mbeya bado sana jamani kuitwa Jiji. mbona miji mingine midogo tu ina majengo yenye kutumia lift. Halafu tena huko Mkuu wa Wilaya anaenda kuzindua (kukata utepe) lift kweli? duuh yaani huko Wakuu wa Wilaya hawanaga shughuli za kufanya?
Vigezo vya mji kuwa jiji ni lift!?
Nyie wabongo mnaweka nini vichwani mwenu?
Mkuu wa wilaya na mwenye jengo la hiyo lift (kama kweli walikuwa wanazindua lift) huo ni ushamba,, lakini kama walikuwa wanazindua jengo ila mtoa post akaamua kuongeza chumvi,, ushamba unabaki kwako wewe unayeshangaa.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Point yangu ni moshi ndo iwe jiji harafu Kilimanjaro ibaki kua mkoa.
Bora sema Kilimanjaro iwe jiji then moshi yawe makao makuu ya jiji•
Nop sio hivyo mkuu, mfano mbeya ni jiji ila wilaya zingine mkoa wa mbeya haziko kwenye mipaka ya Jiji,
 
Back
Top Bottom