connections
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 2,190
- 3,039
- Thread starter
- #281
Shidaaa. Pole Sugu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
EehMoshi ni mji mzuri zaidi ya Mbeya mara 100...
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kaazi kweli kweli Mbeya bado sana jamani kuitwa Jiji. mbona miji mingine midogo tu ina majengo yenye kutumia lift. Halafu tena huko Mkuu wa Wilaya anaenda kuzindua (kukata utepe) lift kweli? duuh yaani huko Wakuu wa Wilaya hawanaga shughuli za kufanya?
[emoji16][emoji16][emoji16]na watu wamekwenda kustaajabuTukisema Mbeya Bado sana mnadai tuna wivu na Mbeya yenu ona sasa. yaani leo ndo lift ya kwanza toka kuumbwa kwa Ulimwengu
Aibu[emoji16][emoji16][emoji16]na watu wamekwenda kustaajabu
Yapo bhana ka Saba hivi 😂😂😂😂😂 ngoja nikutajie, NHIF tower ina ghorofa 12 na ndo ya Kwanza saiz kwa urefu,, tughimbe loyal hotel nyota nne ipo mafiati,,Kuna maranatha ipo mwanjelwa ghorofa 7,, Kuna NHC Ipo cbd, ghorofa 5, pia palepale mkbala na nhc kuna shop center ina floo 4 ina lift 😂😂😂 na kuna mengine kibao yanajengwa, kabwe lipo moja 8 floo,, soweto mkulu hotel floo 5,. Mama John kuna hotel 5 floo ishakamilika,. Mzumbe kuna hotel five floo,k's 7 floo, meta 6 floo,, mbeya region ofice five floo,,,kuna hotel ipo karibu na hospital ya mkoa five star na bado ambazo niliiacha zipo kwenye process hayo yote ni ya lift boss 😂😂😂 na ni ya kisasa kbsa ni four years tuu so karibu mbeya tena mkuluMiaka 6 sasa imepita tangu lift ya kwanza kwenye jiji uchwara la mbeya, vp kuna lift nyingine imeongezwa.? au hata hy moja mshaiharibu.?
Bc mko vizuri kama hadi ghorofa lenye Flow 4 ina liftYapo bhana ka Saba hivi 😂😂😂😂😂 ngoja nikutajie, NHIF tower ina ghorofa 12 na ndo ya Kwanza saiz kwa urefu,, tughimbe loyal hotel nyota nne ipo mafiati,,Kuna maranatha ipo mwanjelwa ghorofa 7,, Kuna NHC Ipo cbd, ghorofa 5, pia palepale mkbala na nhc kuna shop center ina floo 4 ina lift 😂😂😂 na kuna mengine kibao yanajengwa, kabwe lipo moja 8 floo,, soweto mkulu hotel floo 5,. Mama John kuna hotel 5 floo ishakamilika,. Mzumbe kuna hotel five floo,k's 7 floo, meta 6 floo,, mbeya region ofice five floo,,,kuna hotel ipo karibu na hospital ya mkoa five star na bado ambazo niliiacha zipo kwenye process hayo yote ni ya lift boss 😂😂😂 na ni ya kisasa kbsa ni four years tuu so karibu mbeya tena mkulu
Naupenda sana mji wa Mbeya pamoja na yote yanayosemwa. Huu mji nilianzia maisha na ukanitoa japo nilihama huko kitambo....Long live MbeyaYapo bhana ka Saba hivi 😂😂😂😂😂 ngoja nikutajie, NHIF tower ina ghorofa 12 na ndo ya Kwanza saiz kwa urefu,, tughimbe loyal hotel nyota nne ipo mafiati,,Kuna maranatha ipo mwanjelwa ghorofa 7,, Kuna NHC Ipo cbd, ghorofa 5, pia palepale mkbala na nhc kuna shop center ina floo 4 ina lift 😂😂😂 na kuna mengine kibao yanajengwa, kabwe lipo moja 8 floo,, soweto mkulu hotel floo 5,. Mama John kuna hotel 5 floo ishakamilika,. Mzumbe kuna hotel five floo,k's 7 floo, meta 6 floo,, mbeya region ofice five floo,,,kuna hotel ipo karibu na hospital ya mkoa five star na bado ambazo niliiacha zipo kwenye process hayo yote ni ya lift boss 😂😂😂 na ni ya kisasa kbsa ni four years tuu so karibu mbeya tena mkulu
Karibu Tena boss, karibu sanay, binadamu ndivyo tulivyo 😂😂😂acha waiseme kwa mda tuu baadae watakimya wenyewe, mji unaendelea vzr saiz boss, karibu Tena bossNaupenda sana mji wa Mbeya pamoja na yote yanayosemwa. Huu mji nianzia maisha na ukanitoa japo nilihama huko kitambo....Long live Mbeya
Sio nne tuu boss hiyo tughimbe loyal ina ghorofa 3 tuu na ina lift boss 😂 😂😂😂😂😂😂 karibu mbeya boss tule tushibe tunywe maji tulale maisha yaende mbele bossBc mko vizuri kama hadi ghorofa lenye Flow 4 ina lift
Sawa boss 😂😂😂😂😂😂😂 😂😂😂 karibu kijijini bhanaMbeya ni Kijiji
Mbeya pako vizuri, nlwahi kuishi Mbeya mjini maeneo ya kagwina karibu na shule ya msingi sindeSio nne tuu boss hiyo tughimbe loyal ina ghorofa 3 tuu na ina lift boss 😂 😂😂😂😂😂😂 karibu mbeya boss tule tushibe tunywe maji tulale maisha yaende mbele boss
Kweli aisee cc tunafanana ila tofauti ni lugha tuu 😂😂😂😂😂😂😂😂 mafundi wa kufananisha mpo very vzr,Wanyaki kama wasukuma tu
Yeap kwa msosi boss, wàtu wanaipondea mbeya kwa majengo marefu na barabara bc vingine hawawezi kuipondea 😀😀😀😀ila tunakula tunakunywa maji saaafi tunalala tunasubir kufa na kazi tunafanya ili mikoa mingine ifaidike baaasi, nyie kuleni maghorofa yenu hayo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣na lift japo saiz mbeya tunaanza kufaidi vyote bhanaMbeya pako vizuri, nlwahi kuishi Mbeya mjini maeneo ya kagwina karibu na shule ya msingi sinde
Pia maeneo flani hv ya airport ✈️ niliwahi kuishi, ety unachota maji kwa mwezi mzima kwa bill ya 3k 😂😂😂 geto tulikuwa watu sita wanaume wa3 chumba chetu na wanawake wa3 chumba chao yn ilikuwa balaa tunachota maji ht ndoo 10 kwa siku.Yeap kwa msosi boss, wàtu wanaipondea mbeya kwa majengo marefu na barabara bc vingine hawawezi kuipondea 😀😀😀😀ila tunakula tunakunywa maji saaafi tunalala tunasubir kufa na kazi tunafanya ili mikoa mingine ifaidike baaasi, nyie kuleni maghorofa yenu hayo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣na lift japo saiz mbeya tunaanza kufaidi vyote bhana