Picha: Lift ya kwanza yazinduliwa Jijini Mbeya

Picha: Lift ya kwanza yazinduliwa Jijini Mbeya

Inashangaza Kidogo ingwa liftinawkenda na urefu wa majengo yanayoruhusiwa,ninachokijua Mbeya kwa sababu ya uwepo wa tetemeko la ardhihurukusiwi kujenga ghrofa zaidi ya tatu na mahitaji ya nlift huja kuanzia ghorma ya nne.
Mbona yanajengwa maghorofa mengine nadhani zaidi ya 9
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
nimekujibu vya ajabu ni vingi katika tukio zima
1. jiji la mbeya kupata lift 2014
2. tukio kutangazwa kwenye mabango/magari ya matangazo kama si ajabu ni nini?
3. lift kuzinduliwa na kiongozi mkuu wa serikali (wilayani)
4. USHAMBA WA WATU WA MBEYA (tizama tena picha ya huyo jamaa anaepiga hodi kuingia kwenye lift)
 
tarehe 10 Juni lift yetu itakuwa inatimiza miaka 2 toka izinduliwe kwa mara ya kwanza. Karibuni tusherehekee.
 
MK254 tunazipokea Pongezi zako kwa UNYENYEKEVU wa hali ya juu sisi wana-MBEYA. Karibu tusherehekee pamoja. Asante.
 
MK254 tunazipokea Pongezi zako kwa UNYENYEKEVU wa hali ya juu sisi wana-MBEYA. Karibu tusherehekee pamoja. Asante.

Te te te!!! Nawapenda sana wana Mbeya, kuna toto fulani kapendeza sana, alikua ananifundisha Kinyakyusa.
 
Kaazi kweli kweli Mbeya bado sana jamani kuitwa Jiji. mbona miji mingine midogo tu ina majengo yenye kutumia lift. Halafu tena huko Mkuu wa Wilaya anaenda kuzindua (kukata utepe) lift kweli? duuh yaani huko Wakuu wa Wilaya hawanaga shughuli za kufanya?
Mkuu sio kwamba mbeya bado sana hapana. Ila kwa sababu za kitaalam hairuhusiwi kujenga zaidi ya ghorofa nne kwa udongo wa kule ndiomaana hamna majengo marefu.
 
Mbeya pamekosa wawekezaji makini tu laiti wangeruhusu Wachaga kuwekeza pale ingeizidi Cape Town ya Bongo, BUKOBA beibii
 
Mwaka huu lazima mtafute mtu MAARUFU zaidi katika kusherehekea miaka mitatu ya LIFT yetu kwanza hapo MBEYA CITY. Ila Mbeya pamoja na ushamba wao DINI wanaipenda haswaaa!
 
Ikibid Dayamondi aje kwenye maadhimisho ya Mbeya's Lift Day.
 
Hahaha ilikuwa kweli kaka. Chezeiya wanyaki sasa. Afu jengo lenyewe nikaliona, la kichovu limejengwa Kama gereza matofali kila upande.

Hebu rudi tukawekeze home kaka.
Hahaha mkuu hii ni kweli au ilikua strory tu?
 
Jamani tupeane updates bana Mbeya , hadi lift yetu ya kwanza inatimiza miaka 2 bado haijapata wadogo zake wengine? namaanisha hadi sasa kuna majengo mangapi yenye lifti?
 
Hahaha ilikuwa kweli kaka. Chezeiya wanyaki sasa. Afu jengo lenyewe nikaliona, la kichovu limejengwa Kama gereza matofali kila upande.

Hebu rudi tukawekeze home kaka.

Kwa kweli aisee! Kwetu isanga yani kila nikipakumbuka nachooka, zile bati zilivyo na kutu karibu mji mzima.

Hilo jengo liko mitaa gani? Au pale crdb?
 
Back
Top Bottom