mbeya yetu
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 487
- 102
hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahhahahaahhaaaahahahahahahahahahaahahahahahahhMkuu nawe unasherekea uzinduzi wa Lift!! Hii akili au matope?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahhahahaahhaaaahahahahahahahahahaahahahahahahhMkuu nawe unasherekea uzinduzi wa Lift!! Hii akili au matope?
weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee usipime
zisha fikaaukimuona mwakalift umsalimiapo
Fix gani tena? Una fanana na avetor yako.Acha fix wewe
Hii habari isingetangazwa wala usingejua kama Mbeya kuna lift inazinduliwa, hapo tayari umeingia kwenye mkumbo wa mshangao ndugu yangu ha ha ha haSioni kama inastua hiyo habari any way labda kwa kuwa nimezizoea mpaka 180
Mbeya kuna matetemeko gani yenye madhara mpk wakataze kujenga ghorofa zaid ya tatu? huko japani matetemeko ya hstari kila siku na bado wana jenga maghorofa yanagusa mawingu.....mbeya bado sana tena sana.....
Tarehe 10/06/2014 ilizinduliwa iliyosemekana kwamba ni 'lift ya kwanza mkoani Mbeya'. Kwangu mimi, sina maslahi yoyote katika majengo ya mkoani Mbeya, ila napenda kukanusha kwamba ile ya tarehe 10 June 2014 ilikuwa ni lift ya kwanza mkoani humo. Niliwahi kufanya field (Practical/Industrial Training) katika kiwanda cha Mbeya Cement mwaka 1998, na nikiwa mwanafunzi wa FTC kutoka katika moja ya vyuo makini nchini, nilishiriki katika matengenezo ya lift iliyopo kiwandani hapo. Nilikuwa upande wa ufundi wa umeme na principles of operaration za lift kwa upande wa umeme nilizijulia pale kwani sikuwahi kutengeneza relays za lift kabla. Kiwanda hicho kipo eneo la Songwe, mkoani Mbeya.
Nachukua nafasi hii kukanusha kwamba ile iliyozinduliwa tarehe 10/06/2014 ilikuwa ni lift ya kwanza mkoani Mbeya, labda wangesema jijini Mbeya (kiutawala, kiwanda kipo Mbeya Vijijini).
![]()
Mkuu, nilikuwa nimepitiwa tu, hata mimi nilichangia katika uzi ule na nilishangaa Mbeya kutokuwa na lift. Nimekuja kukumbuka baadaye kuwa niliparticipate kutengeneza lift ya Songwe nikiwa mwanafunzi, na hata yule Engineer wa ile kampuni iliyopewa kandarasi ya kukarabati lift alitoka Dar, hakuwa Engineer wa kiwandani.ulikuwa wapi siku zote kukanusha? umesubiri tumeshaamini na kusahau ndo unafunguka, hiyo lift yako kaa nayo
Mbeya Technical College enzi hizo, sasa hivi kimebadili jina kuwa MUSTJabulan ulisoma FTC chuo gani hicho makini? Anyway nimemaliza FTC Technical college Arusha in 1990. Hongera kwa kutujuza.
ulikuwa wapi siku zote kukanusha? Umesubiri tumeshaamini na kusahau ndo unafunguka, hiyo lift yako kaa nayo
Okay, kama pulley systems zinapeleka watu na mizigo vertically wakiwa ndani ya rectangular cube, tena with a controlled manner, kwamba ukitaka kuishia floor one, or two, or three etc you can just push the particular button, hiyo itaitwaje zaidi ya 'lift'?hiyo `lift' ya kiwandani ni kama pulley system mkuu Jabulani!
utetezi mzuri ni kuwa Mbeya iko kwenye bonde la ufa ardhi hairuhusu ujenzi wa maghorofa na hili liko wazi, mwisho ni kama ghorofa 3