Picha: Lift ya kwanza yazinduliwa Jijini Mbeya

Picha: Lift ya kwanza yazinduliwa Jijini Mbeya

Hivi mkuu Excel unajua Breaking News Kweli?

Mods unganisheni huu uzi na ule wa mwanzo,..
 
Last edited by a moderator:
LIFT YA KWANZA JIJI LA MWANZA ni katika Jengo la VICTORIA FEDERATION SIKU HIZI LINAITWA JENGO LA NYANZA COPERATIVE NA HIYO ILIKUWA 1957 wakati huo Mwl. anavaa kapula na Paul Bomani anavaa suti na kishatoka maulaya kitambo.

Tuwekee PICHA - kipindi hicho Dar lift ilikuwa GATEWAYS mnazi mmoja na lilikuwa ndo jengo refu kuliko yote Dar (ghorofa 6) ndo iwe Mwanza
 
Mi nilikua sijaliona asee bahati mbaya sijawahi fika Mbeya ila nasikia majengo mengi 2 up to 3 floor .
 
mkuu imezinduliwa jana, aisee nimeshaa!

hivi kwanini mbeya imeitwa jiji wakati bado miundombinu ni mibovu hivi?

hivi lift nayo ni miundo mbinu ya kupewa hadhi ya jiji???
 
wakuu hii habari imenitisha!

hivi jiji la mbeya lilikuwa halina lift kumbe? watu mlikuwa mnapandaje kwenye majengo marefu?

yani mpaka sherehe zimefanyika kuzindua lift ya kwanza katika jiji/mkoa wa mbeya??

hivi hii serikali yetu inaangalia vigezo gani hasa mpaka mkoa kupewa hadhi ya jiji wakati kitu kidogo kama hiki kinakosa katika miundombinu?

10371364_936807416333677_3529329069740387742_n.png

mbeya hakuna majengo marefu.
 
aisee...
afu nasikia Mbeya bila wachagga haiwezekani...

Kama unapenda ukabila ungesema Mbeya bila WAKINGA haiwezekani ningekukubalia - wahindi na wachaga kibiashara waliikimbia mbeya baada ya Wakinga kuanza biashara seriously
 
mkuu imezinduliwa jana, aisee nimeshaa!

hivi kwanini mbeya imeitwa jiji wakati bado miundombinu ni mibovu hivi?

•Mbeya vumbi sana ila hali ya hewa nzuri soko matola,mwanjelwa,dandho club,mafiat,forest,uwanjani kule karibu na dawasco ya mbeya(its lyk entebe of england)
•Habari ya kitambo sana ingawa imezinduliwa jana lakini informations b4 uzinduzi zilitoka kitambo.
 
Acha uongo ww A 'TOWN lift ziko za kutosha kama impala, ellys etc tembea uone kilaza ww
 
Mmh hii ni kashfa kandukamo1, nahic unapenda hii michezo
 
Hii ni kweli mkuu wala haina ubishi sawasawa na K'njaro kuwa mkoa wa kwanza unaoongoza kwa waliwa 0713 mikoa ya bara ukiachilia mbali tanga,lindi,pwani,dar na mtwara.

Uuiiuupsi
Aisee taarifa iwafikie wenyej na wapita njia
 
Back
Top Bottom