Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Mmh hii ni kashfa kandukamo1, nahic unapenda hii michezo
nahisi sio kupenda tu, atakua mtoaji wa hiyo kitu kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmh hii ni kashfa kandukamo1, nahic unapenda hii michezo
mkuu hiyo ndo naiona aisee... lol!
ngoja ni-edit basi msije mkanivunja mgongo! duh!
mkuu hiyo ndo naiona aisee... lol!
ngoja ni-edit basi msije mkanivunja mgongo! duh!
Lift ya kwanza imezinduliwa jijini mbeya leo tarehe 10. Juni, 2014.
Picha No. 1: Jamaa anapiga Hodiiii kwenye mlango wa LIFT
Picha No. 2: Lift ikizinduliwa Rasmi na Mkuu wa Wilaya
Picha No. 3: Mkuu wa Wilaya (Mgeni Rasmi) Akikata utepe kuzindua Lift
Picha No. 4: Tangazo la kuwakaribisha wananchi kuja kusuhudia Tukio la uzinduzi wa lift
Source: ISSAMICHUZI BLOG
Huna la maana la kuandika?
Nonsense!
Inashangaza Kidogo ingwa liftinawkenda na urefu wa majengo yanayoruhusiwa,ninachokijua Mbeya kwa sababu ya uwepo wa tetemeko la ardhihurukusiwi kujenga ghrofa zaidi ya tatu na mahitaji ya nlift huja kuanzia ghorma ya nne.
baada ya miaka 5 wanafanya aniversaryLift ya kwanza imezinduliwa jijini mbeya leo tarehe 10. Juni, 2014.
Picha No. 1: Jamaa anapiga Hodiiii kwenye mlango wa LIFT
Picha No. 2: Lift ikizinduliwa Rasmi na Mkuu wa Wilaya
Picha No. 3: Mkuu wa Wilaya (Mgeni Rasmi) Akikata utepe kuzin
dua Lift
Picha No. 4: Tangazo la kuwakaribisha wananchi kuja kusuhudia Tukio la uzinduzi wa lift
Source: ISSAMICHUZI BLOG
Bandari ya juzi kiongozi, maneno Bombo Hospital [Gallanos] na vile Twiga Hotel.Hizo ni za 60s.Usilolijuwa litakutatiza.Moshi Lift ya kwanza mwaka 1984 Jengo la KNCU
Tanga Lift ya kwanza Jengo la Bandari
Narudia tena Mbeya ni mji mdogo sana haukustahili kuitwa JIJI. Siasa za kujikuza kwa Wanyakyusa (Prof. & Dr. Mwa........) ndo zililazimisha iwe JIJI MFU.
miss strong ....kwa kweli watu mmetoka mbali
ingawa mnajishebedua mjini lol
Kaazi kweli kweli Mbeya bado sana jamani kuitwa Jiji. mbona miji mingine midogo tu ina majengo yenye kutumia lift. Halafu tena huko Mkuu wa Wilaya anaenda kuzindua (kukata utepe) lift kweli? duuh yaani huko Wakuu wa Wilaya hawanaga shughuli za kufanya?
Mbeya kuna matetemeko gani yenye madhara mpk wakataze kujenga ghorofa zaid ya tatu? huko japani matetemeko ya hstari kila siku na bado wana jenga maghorofa yanagusa mawingu.....mbeya bado sana tena sana.....
kwetu mbeya ma sweet home@lusungo unaona maendeleoo hayo
weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee usipimehaha wana mbeya wana hasira hao