Picha: Lift ya kwanza yazinduliwa Jijini Mbeya

Picha: Lift ya kwanza yazinduliwa Jijini Mbeya

Jiji la Mbeya limetisha mbaya............................nasikia uzinduzi ulifana sana ila mtumbuizaji Diamond hakualikwa kwenye uzinduzi huu wa kihistoria....................:loco:
 
Hizi mada zinazohusu maeneo au makabila hazina tija kwa Taifa, zaidi tu ya kutaka kuonyesha kabila flani ni bora kuliko makabila mengine wakati ni wizi mtupu!
kumbuka pia bila kufanya hivyo hatuwezi jua maendeleo yaliyofikiwa katika hilo eneo,nahii huleta hamasa ya watu kukumbuka walikotoka atiiii!
 
here in Turkana there is no lift at all not to mention electricity! leaving aside places like Nakuru, Eldoret, kakamega :shock:
 
here is Turkana there is no lift at all! leaving aside places like Nakuru, Eldoret, kakamega :shock:

Turkana is not a "mkoa", am yet to really fathom this news.... a whole region congregating to launch a lift. And why bring in metropolitan towns like Nakuru, Eldoret, kakamega which already have tall buildings.
Man, you better get your ass off Turkana and go home, there is every need for development if launching of a mere lift can make it to the prime news.
 
Hiyo ni unique strategic ya kutangaza hotel, akitangaza kuzinduliwa kwa hotel kila mtu atachukulia simple tu lkn kwa kutangaza kwamba kuzinduliwa kwa lift kila mtu atashtuka kama ilivyotokea sasa, jamaa mwenye jengo kawin hapo, BIG UP MWENYE HOTEL!
Unaumwa macho papa mopao! Hotel au jengo la cwt. usikuze mambo
 
Niliwahi kutembelea mji wa Arusha mwaka 1977, na kubahatika kufikia kwenye hoteli ya New Arusha, lenye jengo la ghorofa tatu ikiwa na lift kubwa yenye uwezo wa kubeba zaidi ya watu sita na masanduku yao.

Aidha kwa kumbukumbuku AICC ilifunguliwa mwaka huohuo 1977, hivyo basi sio sahihi kusema ndio jengo la kwanza kuwa na lift katika mji wa Arusha.
 
Turkana is not a "mkoa", am yet to really fathom this news.... a whole region congregating to launch a lift. And why bring in metropolitan towns like Nakuru, Eldoret, kakamega which already have tall buildings.
Man, you better get your ass off Turkana and go home, there is every need for development if launching of a mere lift can make it to the prime news.
evidence of a lift/elevator!
 
tatizo sio lifti tatizo lifti kuzinduliwa na mkuu wa wilaya as if anazindua ndege ya kwanza kwenda mwezini,pili watu wa mbeya kujishebedua kunawaponza ukiniambia lindi hakuna lifti ntakuchukulia poa tu kwani kwao membe ndio mjanja pekee lakini hapa wakina mwa mwa mwa mwa mna fujo san
 
kweli Tanzania tunaishi ulimwengu wa tatu,yaani lift tu hadi inatanganzwa namna ile?
 
Nimeshangaa sana kusikia kuwa leo Elevator ya kwanza jijini Mbeya imeziduliwa. Umati mkubwa wa watu wamemiminika kwenda kushangaa na kuipanda. Baada ya miaka 50 ya Uhuru, sikutegemea watu bado wawe wanashangaa elevator tena kwenye jiji ............ sasa huko wilayani itakuwaje?? Still, kuna watu watadai CCM imetuletea maendeleo. Najua wajuaji watabeza na kuhoji umuhimu wake lakini mioyoni wanajua visual indicators za maendeleo ni zipi ukiingia mjini!!!!!
 
  • Thanks
Reactions: prs
Utawasikia baadhi ya wajinga wanasema eti ccm imedumisha amani, huu sijui utaisha lini ikiwa mambo ya msingi ya kimaendeleo ya nchi ni zero.
 
Back
Top Bottom