Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,480
- 4,775
Kwani Lift ndio sifa ya mji kuwa Jiji?....Miji yote ilokuwa na lift kabla ya mbeya yaitwe majiji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Lift ndio sifa ya mji kuwa Jiji?....Miji yote ilokuwa na lift kabla ya mbeya yaitwe majiji
Mkuu acha waoengee sanaa wabongo wengi ni vilaza huwa hatupendi kujuwa tatizo nini
Lift valley(bonde la UFA) nahisi wengi hawajui condition
Kwani Lift ndio sifa ya mji kuwa Jiji?....
King'ast una fujo wewe
kwa arusha umechemka! AICC nadhani ingeanza kabla!Tuanzie hapo:
Lift ya kwanza mjini Dodoma ni( Jengo la utawala Udom)
Mjini Morogoro ni
Mjini Mwanza ni( jengo la NSSF)
Mjini Tanga ni
Mjini Iringa ni
Mjini Arusha ni( nadhan Naura Spring)
Mjini Mtwara ni ( Naf beach hotel)
Mjini Singida ni
Mjini Shinyanga ni
Njombe ni
Kibaha ni
Geita ni
Kahama ni
Tunduma ni
Masasi ni
Rukwa ni
Katavi/ Mpanda ni
Korogwe ni
Lindi ni
Musoma ni
Bukoba ni
Zanzibar ni
Pemba ni
Kigoma ni
Makambako ni
Babat ni
Moshi ni
Wadau toeni inputs kama unafaham uwepo wa lift miji niliyoitaja. Kwa sasa Arusha na Mwanza lift ziko nyingi. Dar haimo kwa kuwa ni dhahir lift zko lukuk
djnehe,Je Adis Ababa wamewezaje kjenga majengo marefu wakati wana the same nature ya kimazingira na Mbeya,naomba jibu.Mkuu acha waoengee sanaa wabongo wengi ni vilaza huwa hatupendi kujuwa tatizo nini
Lift valley(bonde la UFA) nahisi wengi hawajui condition
"Mbeya ni Kijiji kikubwa" by Daniel Olenjolay....Kwi kwi kwi kwi....
Inashangaza Kidogo ingwa liftinawkenda na urefu wa majengo yanayoruhusiwa,ninachokijua Mbeya kwa sababu ya uwepo wa tetemeko la ardhihurukusiwi kujenga ghrofa zaidi ya tatu na mahitaji ya nlift huja kuanzia ghorma ya nne.
Mbona hilo lenye lift ya kwanza lina ghorofa saba?
Hawa watu wanausifia huu mkoa hadi nikaingia chaka nikajikuta nimeuchagua kama sehemu ya kufanyia kazi,mara ya kwanza kufika,NILIJUTA MWENYEWE.Mawitule acha kuchezesha maneno eti ooh lift mpaka ghorofa zaidi ya 4 na mbeya ni mji wa matetemeko. sasa jiulize hiyo lift iliyozinduliwa na mkuu wa wilaya si ipo Mbeya? Matetemeko yameisha?
Lift ya kwanza imezinduliwa jijini mbeya leo tarehe 10. Juni, 2014.
djnehe,Je Adis Ababa wamewezaje kjenga majengo marefu wakati wana the same nature ya kimazingira na Mbeya,naomba jibu.
Upo sahihi kabisa,japo miji mingi ya Tanzania kuna sehemu ambazo hazijapangiliwa ila kwa Mbeya ndo inaongoza kuliko miji yote Tanzania atakaebisha aje atoe ni mji gani zaidi ya Mbeya.
Kwa hiyo mhandisi wa mkoa na mkuu wa mkoa walipokuwa wanakaribisha wawekezaji wa majengo marefu wakawekeze majengo marefu mbeya walikuwa wanakiuka kanuni na sheria,vip adis wamewezaje?
Wana Mbeya wanasema mwisho nne,siku zote nasema mbeya haiwezi linganishwa na Iringa kuanzia uzuri wa mji na mapato ya mkoa.
Hawa watu wanausifia huu mkoa hadi nikaingia chaka nikajikuta nimeuchagua kama sehemu ya kufanyia kazi,mara ya kwanza kufika,NILIJUTA MWENYEWE.
Hii dunia inajawa na vituko kila siku,kama hivyo vya jana,na huyo mkuu wa wilaya hajielewi na hata hajitambui....
aisee...
afu nasikia Mbeya bila wachagga haiwezekani...
Mbeya imezidi kwa kweli ikifuatiwa na Dar,ila kijografia Mbeya ingepangiliwa vizuri ingependeza sana ila ndo mbaya na vumbi hili ndo unaondoa kila kitu.Mbeya hakuna hata sehem ukifika kwamba utavutika napo kama ilivyo Dar,Arusha,Kilimanjaro,Tanga,Mwanza Dom na Hata Iringa.Tanzania nzima ni kijiji
Kwa mwanza umebugi mkuu, Lift ya kwanza ni bugando hospital tena toka miaka ya giza
Hapo uko sahihi...Mkuu acha waoengee sanaa wabongo wengi ni vilaza huwa hatupendi kujuwa tatizo nini
Lift valley(bonde la UFA) nahisi wengi hawajui condition
Jengo la kwanza kuwa na lift Arusha lilijuwepo kabla hujazaliwa, AICC ina umri mkubwa kuliko wewe,na si kweli kuwa naura spring ndito ya kwanza bali ya mwisho mwisho kwani hoteli kama Impala zilikuwepi long before hiyo naura, wacha uongo