Picha: Lift ya kwanza yazinduliwa Jijini Mbeya

Picha: Lift ya kwanza yazinduliwa Jijini Mbeya

Yaani kila siku dunia inaleta kituko kipya,yan tangia nzaliwe sjawahi skia lifti inazinduliwa tena na mkuu wa serikali
 
Inashangaza Kidogo ingwa liftinawkenda na urefu wa majengo yanayoruhusiwa,ninachokijua Mbeya kwa sababu ya uwepo wa tetemeko la ardhihurukusiwi kujenga ghrofa zaidi ya tatu na mahitaji ya nlift huja kuanzia ghorma ya nne.


Mkuu acha waoengee sanaa wabongo wengi ni vilaza huwa hatupendi kujuwa tatizo nini
Lift valley(bonde la UFA) nahisi wengi hawajui condition
 
Kwa mwanza umebugi mkuu, Lift ya kwanza ni bugando hospital tena toka miaka ya giza
 
Tuanzie hapo:
Lift ya kwanza mjini Dodoma ni( Jengo la utawala Udom)
Mjini Morogoro ni
Mjini Mwanza ni( jengo la NSSF)
Mjini Tanga ni
Mjini Iringa ni
Mjini Arusha ni( nadhan Naura Spring)
Mjini Mtwara ni ( Naf beach hotel)
Mjini Singida ni
Mjini Shinyanga ni
Njombe ni
Kibaha ni
Geita ni
Kahama ni
Tunduma ni
Masasi ni
Rukwa ni
Katavi/ Mpanda ni
Korogwe ni
Lindi ni
Musoma ni
Bukoba ni
Zanzibar ni
Pemba ni
Kigoma ni
Makambako ni
Babat ni
Moshi ni

Wadau toeni inputs kama unafaham uwepo wa lift miji niliyoitaja. Kwa sasa Arusha na Mwanza lift ziko nyingi. Dar haimo kwa kuwa ni dhahir lift zko lukuk

Jengo la kwanza kua na lifti ni beitlajaib zanzibar mwaka 1883
 
The palace was built in 1883 for Barghash bin Said,
second Sultan of Zanzibar.[2][3] It was intended as
a ceremonial palace and official reception hall,
celebrating modernity, and it was named "House of
Wonders" because it was the first building in
Zanzibar to have electricity, and also the first
building of East Africa to have an elevator
 
Tunabishana kuhusu lifti, wakati kina mama wanajifungua hospitali wakiwa wamelala chini, shule hazina walimu, madaftari na madawati na waalimu hawalipwi na serikali, wagonjwa hawapati matibabu ya kutosha na waganga na watabibu hawalipwi vizuri wala hawalipwi kabisa, takataka zimejaa kila kona za miji yote Tanzania, mafuriko yapo kila mahali kwa sababu ya umbumbumbu wetu, "miji" yote ina foleni za kijinga tu, treni yetu imekufa na kila mzigo unasafirishwa kwa magari badala ya reli.

Watoto wetu mpaka waandamane ili waliiwe ada yao na hela za kujikimu.

Mahakama zote nchini zimeoza.

Ukiwa na shida ya siku moja ofisi ya ardhi inabidi uombe likizo ya mwezi kazini kwako.

Polisi wote wako busy kwenye misafara ya viongozi na sisi kunaambiwa kuwa kuna dhana ya polisi jamii na utii wa sheria bila shurti.

Maelfu ya wananchi hawajui kesho watakula nini.

Hivi ndio vitu vya kubishana na wala sio lifti na ghorofa ambazo sio zetu, hatuwezi kuwa wapangaji na wala hazituongezea tija katika kutatua matatizo yetu.
 
Jamaa wamejitahidi sana aisee mpaka kuweza kuweka lift mbeya??!!

Wanastahili pongezi zao aisee....imebakia bahari tu mbeya kwa sasa coz ndege zipo tayali.

Nilisahau bado pia na treni ya mwakyembe!
 
Mkuu acha waoengee sanaa wabongo wengi ni vilaza huwa hatupendi kujuwa tatizo nini
Lift valley(bonde la UFA) nahisi wengi hawajui condition

mkuu point of correction!! ni Rift Valley siyo Lift Valley
 
Siku kwetu tukiwa na escalators itabidi JK atutangazie Public holiday. ...
 
Miji yote ilokuwa na lift kabla ya mbeya yaitwe majiji
 
Back
Top Bottom