Picha: Lift ya kwanza yazinduliwa Jijini Mbeya

Picha: Lift ya kwanza yazinduliwa Jijini Mbeya

LIFT YA KWANZA JIJI LA MWANZA ni katika Jengo la VICTORIA FEDERATION SIKU HIZI LINAITWA JENGO LA NYANZA COPERATIVE NA HIYO ILIKUWA 1957 wakati huo Mwl. anavaa kapula na Paul Bomani anavaa suti na kishatoka maulaya kitambo.
Jengo la pili Bugando Hospital.
 
Lift ya kwanza imezinduliwa jijini mbeya leo tarehe 10. Juni, 2014.

Picha No. 1: Jamaa anapiga Hodiiii kwenye mlango wa LIFT
Picha No. 2: Lift ikizinduliwa Rasmi na Mkuu wa Wilaya
Picha No. 3: Mkuu wa Wilaya (Mgeni Rasmi) Akikata utepe kuzindua Lift
Picha No. 4: Tangazo la kuwakaribisha wananchi kuja kusuhudia Tukio la uzinduzi wa lift
Source: ISSAMICHUZI BLOG


Duuuuh majanga.....kuna mshkaji nilisoma nae MLIMANI 5yrs ago kwa jinsi alivokua anaisifia ki ukweli siez amini kwamba mbeya hawajawahi kuwa hata na gorofa ynye lifti kusaidia japo walemavu....
 
duuuuh majanga.....kuna mshkaji nilisoma nae mlimani 5yrs ago kwa jinsi alivokua anaisifia ki ukweli siez amini kwamba mbeya hawajawahi kuwa hata na gorofa ynye lifti kusaidia japo walemavu....

magorofa yenyewe ya kuweka lift yapo???!!!!
 
Aibu kwa kweli akina Atombile mwakitako mmetoa povu leo! Nyie bado xana

Teh teh teh!!
Bila shaka leo jirani yangu mmoja mjivuni flani hivi anaitwa Mzee Mwakafyokolewa Mwakitombile atakuwa kafurahi sana kwa ujio wa lift ndani ya GreenCity!
 
Tuanzie hapo:
Lift ya kwanza mjini Dodoma ni( Jengo la utawala Udom)
Mjini Morogoro ni
Mjini Mwanza ni( jengo la NSSF)
Mjini Tanga ni
Mjini Iringa ni
Mjini Arusha ni( nadhan Naura Spring)
Mjini Mtwara ni ( Naf beach hotel)
Mjini Singida ni
Mjini Shinyanga ni
Njombe ni
Kibaha ni
Geita ni
Kahama ni
Tunduma ni
Masasi ni
Rukwa ni
Katavi/ Mpanda ni
Korogwe ni
Lindi ni
Musoma ni
Bukoba ni
Zanzibar ni
Pemba ni
Kigoma ni
Makambako ni
Babat ni
Moshi ni

Wadau toeni inputs kama unafaham uwepo wa lift miji niliyoitaja. Kwa sasa Arusha na Mwanza lift ziko nyingi. Dar haimo kwa kuwa ni dhahir lift zko lukuk

Moshi nilipanda lift 1999 pale Kahawa House!!!.......
 
Mbeya kiroho safi haikupaswa kuwa hata MJI labda ingekuwa tu HALMASHAURI YA WILAYA YA MBEYA
 
Back
Top Bottom