Kaazi kweli kweli Mbeya bado sana jamani kuitwa Jiji. mbona miji mingine midogo tu ina majengo yenye kutumia lift. Halafu tena huko Mkuu wa Wilaya anaenda kuzindua (kukata utepe) lift kweli? duuh yaani huko Wakuu wa Wilaya hawanaga shughuli za kufanya?
Ni aibu kubwa kusikia habari kama hizi, kweli mkuu wa wilaya anaenda zindua Lift, jamani tunajiaibisha sn, nivitu ambavyo havihitaji kuelezwa kwenye kadamnasi, kwani ukijenga jengo kubwa huna haja kusema naleta lift watu wakiiona basi wanatumia, lkn huyu mkuu amekosa kazi anaenda kufanya kazi ya mwenye nyumba ni aibu sana.




