Picha: Lift ya kwanza yazinduliwa Jijini Mbeya

Picha: Lift ya kwanza yazinduliwa Jijini Mbeya

Kaazi kweli kweli Mbeya bado sana jamani kuitwa Jiji. mbona miji mingine midogo tu ina majengo yenye kutumia lift. Halafu tena huko Mkuu wa Wilaya anaenda kuzindua (kukata utepe) lift kweli? duuh yaani huko Wakuu wa Wilaya hawanaga shughuli za kufanya?


Ni aibu kubwa kusikia habari kama hizi, kweli mkuu wa wilaya anaenda zindua Lift, jamani tunajiaibisha sn, nivitu ambavyo havihitaji kuelezwa kwenye kadamnasi, kwani ukijenga jengo kubwa huna haja kusema naleta lift watu wakiiona basi wanatumia, lkn huyu mkuu amekosa kazi anaenda kufanya kazi ya mwenye nyumba ni aibu sana.
 
Hizi mada zinazohusu maeneo au makabila hazina tija kwa Taifa, zaidi tu ya kutaka kuonyesha kabila flani ni bora kuliko makabila mengine wakati ni wizi mtupu!
 
Hii nchi ya ajabu sana. Mkuu wa wilaya anazindua lifti na kupigiwa makofi na kupigwa picha. Hii ndio Tanzania kila kitu kinawezekana.
 
Aisee niambieni kuwa huu ni utani tu na siyokweli, hakiyanani tena!!!!
 
Wana Mbeya Oyeeee. Hawa jamaa ni washamba sana siku Precision wanaziindua safari zao za Mbeya maelfu walikuja uwanjani kushangaa ndege. mpaka leo ukishuka na ndege Songwe lazima ukute mamia ya watu wamekuja kushangaa ndege
 
Kaazi kweli kweli Mbeya bado sana jamani kuitwa Jiji. mbona miji mingine midogo tu ina majengo yenye kutumia lift. Halafu tena huko Mkuu wa Wilaya anaenda kuzindua (kukata utepe) lift kweli? duuh yaani huko Wakuu wa Wilaya hawanaga shughuli za kufanya?

Mkuu wa wilaya mwenyewe ni kilaza mwenye shahada ya kughushi ndio maana anaona kuzindua lift ni kazi ya maendeleo!!!
 
Kwa Moshi lift ipogo tangu mkoloni alipojenga hotel ya K.N.C.U bhana.
Tuanzie hapo:
Lift ya kwanza mjini Dodoma ni( Jengo la utawala Udom)
Mjini Morogoro ni
Mjini Mwanza ni( jengo la NSSF)
Mjini Tanga ni
Mjini Iringa ni
Mjini Arusha ni( nadhan Naura Spring)
Mjini Mtwara ni ( Naf beach hotel)
Mjini Singida ni
Mjini Shinyanga ni
Njombe ni
Kibaha ni
Geita ni
Kahama ni
Tunduma ni
Masasi ni
Rukwa ni
Katavi/ Mpanda ni
Korogwe ni
Lindi ni
Musoma ni
Bukoba ni
Zanzibar ni
Pemba ni
Kigoma ni
Makambako ni
Babat ni
Moshi ni

Wadau toeni inputs kama unafaham uwepo wa lift miji niliyoitaja. Kwa sasa Arusha na Mwanza lift ziko nyingi. Dar haimo kwa kuwa ni dhahir lift zko lukuk
 
Bujibuji ukuje hapaQUOTE=Jalem;9777919]Ni aibu kubwa kusikia habari kama hizi, kweli mkuu wa wilaya anaenda zindua Lift, jamani tunajiaibisha sn, nivitu ambavyo havihitaji kuelezwa kwenye kadamnasi, kwani ukijenga jengo kubwa huna haja kusema naleta lift watu wakiiona basi wanatumia, lkn huyu mkuu amekosa kazi anaenda kufanya kazi ya mwenye nyumba ni aibu sana.[/QUOTE]
 
Last edited by a moderator:
Nimeiona hii kwenye mtandao, Mbeya mkoa huwa tunauskia na kuutamanani kwenye wimbo wa Bahati Bukuku, lakini jameni eti ndio wamepata lift ya kwanza mkoa mzima. Sielewi, yaani kabisa sidhani kuna ukweli hapa. Labda wenzangu akina kadoda11 Geza Ulole Bulldog wanithibitishie

HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA KATIKA UZINDUZI WA LIFT YA KWANZA MKOANI MBEYA














Hapa Lift ikiwa imezinduliwa Rasmi kwa ajili ya matumizi

Mdau Geofley Ananiah akiwa katika uzindunduzi huo

Jengo la Chama cha walimu

Baadhi ya watu wakiwa wanaingia katika Lift hiyo kwa ajili ya uzinduzi huo.

http://mbeyayetu.blogspot.com/2014/06/hivi-ndivyo-ilivyokuwa-katika-uzinduzi.html​
 
Last edited by a moderator:
Uzinduzi wa lift? ya kwenda wapi?

Du itabidi nami nikijenga kagorofa kangu nizindue ngazi za kuendea gorofani...
 
waalimu bwana, badala ya kuzindua jengo wanazindua lift amabayo ni requirement na si anasa kulingana na jengo walilojenga!
 
Gorofa tano?

Hiyo ni unique strategic ya kutangaza hotel, akitangaza kuzinduliwa kwa hotel kila mtu atachukulia simple tu lkn kwa kutangaza kwamba kuzinduliwa kwa lift kila mtu atashtuka kama ilivyotokea sasa, jamaa mwenye jengo kawin hapo, BIG UP MWENYE HOTEL!
 
Sioni kama inastua hiyo habari any way labda kwa kuwa nimezizoea mpaka 180
Hiyo ni unique gorofa .strategic ya kutangaza hotel, akitangaza kuzinduliwa kwa hotel kila mtu atachukulia simple tu lkn kwa kutangaza kwamba kuzinduliwa kwa lift kila mtu atashtuka kama ilivyotokea sasa, jamaa mwenye jengo kawin hapo, BIG UP MWENYE HOTEL!
 
Back
Top Bottom