Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanyakyusa wote kwa umoja wetu tukumbuke kwetu Mbeya tatizo tukishakuja mjini watoto wa kichaga wakatuchanganya tunasahau kwetu
Ngoja waje wenyewe utajutia kauli yako...Mbeya Jiji Kama KIJIJI!
Aibu ya Wanyaki hiiMawitule acha kuchezesha maneno eti ooh lift mpaka ghorofa zaidi ya 4 na mbeya ni mji wa matetemeko. sasa jiulize hiyo lift iliyozinduliwa na mkuu wa wilaya si ipo Mbeya? Matetemeko yameisha?
Lift ya kwanza Zanzibar 1883Tuanzie hapo:
Lift ya kwanza mjini Dodoma ni( Jengo la utawala Udom)
Mjini Morogoro ni
Mjini Mwanza ni( jengo la NSSF)
Mjini Tanga ni
Mjini Iringa ni
Mjini Arusha ni( nadhan Naura Spring)
Mjini Mtwara ni ( Naf beach hotel)
Mjini Singida ni
Mjini Shinyanga ni
Njombe ni
Kibaha ni
Geita ni
Kahama ni
Tunduma ni
Masasi ni
Rukwa ni
Katavi/ Mpanda ni
Korogwe ni
Lindi ni
Musoma ni
Bukoba ni
Zanzibar ni
Pemba ni
Kigoma ni
Makambako ni
Babat ni
Moshi ni
Wadau toeni inputs kama unafaham uwepo wa lift miji niliyoitaja. Kwa sasa Arusha na Mwanza lift ziko nyingi. Dar haimo kwa kuwa ni dhahir lift zko lukuk
Hongereni Wazenji nyie pia ni wa kwanza kumiliki TV station ya rangi. Ila punguzeni Michezo ya ajabu mtaheshimika zaidi dunianiLift ya kwanza Zanzibar 1883
Na ndio jengo la kwanza kuwa na umeme Afrika Mashariki na kati.