Ngokongosha
JF-Expert Member
- Feb 9, 2011
- 3,400
- 7,608
But Mwanza hakuna wilaya ya Mwanza au dar es salaam hakuna wilaya inayoitwa dar es salaamBado hatujapata mkoa ambao umekuwa jiji ambapo makao makuu yake yana jina tofauti.
Ngoja tusubiri.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Mkoa wa Mwanza ulianzishwa rasmi mwaka 1963 ukiwa na wilaya nne za Ukerewe, Geita, Mwanza na Kwimba.But Mwanza hakuna wilaya ya Mwanza au dar es salaam hakuna wilaya inayoitwa dar es salaam
Isanga, Soweto kila mtu anajenga anavojiskia, unaweza kukatiza chocho ukajikuta chooni kwa mtu na Mabatini kule dahNi kweli mji haukuwekwa kwenye mipango miji kwa sababu maeneo yaliyojengwa kiholela yalijengwa tangu kitambo Sana lkn mitaa inayondelea saiz imepangwa vizuri,, na mpango was kulipanga upya jiji upo tangu mwaka juzi ko upo kwenye michakato,,nazani ikianza kujengwa hiyo barabara ndo wataunganisha kwa hiyo ni swala la mda tuu lkn mipango miji kwa hapo mbeya wazembe Sana Yani mpka kero sijui kwa nn,,,
Ni kweli mpka ilem, airport na maeneo ya mwakibete na kule simike lkn mkataba ushasainiwa tayari na kampuni ya urban solutionIsanga, Soweto kila mtu anajenga anavojiskia, unaweza kukatiza chocho ukajikuta chooni kwa mtu na Mabatini kule dah
Ila kuupanga tena itawacost sana muda na pesa
Mhhhhhh ,, mafiati π³π³π³π³π³π³π³ limejengwa lini aiseee mbona hamna jengo la hivyo mafiatiBurj Al Mwakalobo Mafiati Towers
Imeizjdi Mbeya ila bado sanaMoshi ni mji mzuri zaidi ya Mbeya mara 100...