Uchaguzi 2020 Picha: Lissu aendelea na kampeni huko Marangu

Uchaguzi 2020 Picha: Lissu aendelea na kampeni huko Marangu

Hata waibe kura vipi hawatazimaliza. Lissu tayari ni rais wa nchi hii. Na wasirogwe wajaribu kuiba, watakiona cha mtema kuni. Najua kusikia kwa kenge mpaka atoke damu masikioni, sasa acha wajaribu.
Lissu akiwa Raisi wa hii nchi nafuta account yangu ya JamiiForum
 
Hawa jamaa kila kikwazo wanachofikiri kitawasaidia kinageuka kuwa angamizo kwao.
Leo wanatamani wamuambie tumia Helicopter.
[emoji3][emoji3]unaweza ukashangaa anaitwa anaambiwa kibali cha helkopta kimetoka
 
Hata waibe kura vipi hawatazimaliza. Lissu tayari ni rais wa nchi hii. Na wasirogwe wajaribu kuiba, watakiona cha mtema kuni. Najua kusikia kwa kenge mpaka atoke damu masikioni, sasa acha wajaribu.
Kuna mgombea ameanza kupiga magoti. Madaraja, stiglers, barabara, hospitali na ununuzi wa wabunge havina msaada.
 
Dar tutawashangaza, binafsi lazima nikamshuhudie hyu mwamba Mungu akijalia atakapokuja, kipenzi cha watu na mzalendo halisi sio yule anaetumia gharama kubwa kuonesha kuwa anapendwa.
Well noted Mkuu...
 
Mkuu Earthmover hicho kinachoendelea Moshi siyo kimbunga tena....itafutiwe jina, hongereni sana mkuu kwa taarifa.
 
Na hapa hakuna Fiesta watu wamejaa wanamsubiri mpaka usiku

Back
Top Bottom