ASHA NGEDELE
JF-Expert Member
- Jul 5, 2011
- 784
- 327
Lissu akiwa Raisi wa hii nchi nafuta account yangu ya JamiiForumHata waibe kura vipi hawatazimaliza. Lissu tayari ni rais wa nchi hii. Na wasirogwe wajaribu kuiba, watakiona cha mtema kuni. Najua kusikia kwa kenge mpaka atoke damu masikioni, sasa acha wajaribu.