Uchaguzi 2020 Picha: Lissu aendelea na kampeni huko Marangu

Anajidai hamkuona Mbeya leo? Kujifanya vipofu hamuoni kampeni za JPM ili mjifariji kuwa Lissu atashinda. Lissu akifikisha 5% ya kura zote mwaka huu SGR itakuwa inajengwa Somalia si Dar-Moro -Makutopora.
 
Tunakula pesa ila Kura zote kwa LISSU
 
Mwambieni rais mtarajiwa H.E. Lawyer Tundu Antipas Mughwai Lissu aje kanda ya kati tunavunja rekodi na kura zetu zote zinamsubiri
 
Back
Top Bottom