[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dhambi ujue.vp kuhusu huyu fid Q??
Dre amekua mtu mzima sasa! Na hapo vile ni mtu wa mazoeziNaona Diddy karudi nafasi yake tena. Na pia drake kamuondoa nadhan alikua 50 cent nafas yake hio ya 5.
5. Drake--Utajiri wa Bilioni 126 Tsh.
4. Birdman--Utajiri wa Bilion 231 Tsh.
3.Jay Z -- Utajiri wa Trilioni 1.2 Tsh.
2. Dr. DRE --Utajiri wa Trilioni 1.4 Tsh.
1.P.Diddy -- Utajiri wa Trilioni 1.5 Tsh.
Mpangilio wa PICHA kuanzia namba 5 hadi 1.
View attachment 412567
View attachment 412568
View attachment 412569
View attachment 412570
View attachment 412571
dokta dre hana hata mtoto wa kusingiziwa ana matatizo gani?
Mkuu hizi figure unasema si hela nyingi! Mkuu HONGERA sana.Duuu hizo figure ni kuhusu Cash alizonazo au pamoja Mali zingine maana kama ni hivyo mbona sioni kama ni ela nyingi...
Nakumbuka mtoto wa Dre alikufa miaka michache iliyopita tena kifo cha utata sina kumbukumbu vizuri.
Duuu hizo figure ni kuhusu Cash alizonazo au pamoja Mali zingine maana kama ni hivyo mbona sioni kama ni ela nyingi...
Mkuu bora ungeweka tu kwenye USD! Maana naona hizo figure ulizoweka nikizirudisha kwenye dola kama umewapunja baadhi, mfano DiddyTanzania shillings mkuu...nime convert kwa rate ya sasa hivi
Haha umeona mkuuDre amekua mtu mzima sasa! Na hapo vile ni mtu wa mazoezi
Acha hizo.....ya kimarekani siyo ya Tz
Billgate mwenyewe amefikisha $ bl. 75Acha hizo.....
Unaijua $ 1.5trillion hakuna mtu amewahi kuimiliki hata Billgate hajawahi hata kuiwazia
sikudhania etii!!daaah,kumbe Dre still ana ukwasi wa kutosha eeeh?