Picha: List mpya ya top 5 marapa matajiri 2016

Picha: List mpya ya top 5 marapa matajiri 2016

Naona Diddy karudi nafasi yake tena. Na pia drake kamuondoa nadhan alikua 50 cent nafas yake hio ya 5.

5. Drake--Utajiri wa Bilioni 126 Tsh.

4. Birdman--Utajiri wa Bilion 231 Tsh.

3.Jay Z -- Utajiri wa Trilioni 1.2 Tsh.

2. Dr. DRE --Utajiri wa Trilioni 1.4 Tsh.

1.P.Diddy -- Utajiri wa Trilioni 1.5 Tsh.

Mpangilio wa PICHA kuanzia namba 5 hadi 1.

View attachment 412567
View attachment 412568
View attachment 412569
View attachment 412570
View attachment 412571
Dre amekua mtu mzima sasa! Na hapo vile ni mtu wa mazoezi
 
Hahaha naona baadhi ya watu hawaamini vile .....

Nenda google mda huu angalia exchange rate ya usd to tsh...

Mfano kwa mkali diddy utajir wake kwa dola ni kias cha dola 750,000,000$

Dola 1 ya marekan ni shiling 2183.45 ( muda wa saa 11 jioni)

Hapa haiitaji sana degree wala IQ ya 100% ...ni mahesabu ya kawaida.tu hata mwenye uwezo wa kufikiri 1% anazidisha tu anapata jibu.

Dola milion 750 zidisha mara 2183.45 unapata [emoji116][emoji116]
1,637,587,500,000/= TANZANIA SHILLINGS yaani ni hivi, Trilioni moja, bilioni mia sita thelathini na saba, milioni mia tano themanini na saba na laki tano na senti hakuna.

Mara ya kwanza nilisema trilion 1.5 sababu ni exchange rates hua zinabadilika badilika.
 
Back
Top Bottom