Picha: List mpya ya top 5 marapa matajiri 2016

sikudhania etii!!
Alivyouza zile headphones zake za beats by dr dre kwa APPLE alipiga mkwanja sana na ilikua siku moja tu akapanda had nafas ya 1 akamshusha mzee mzima diddy...diddy naona hakukubali ndo kaparangana huko karud tena namba moja so dre akashuka to number 2
 
Billgate mwenyewe amefikisha $ bl. 75

Na wala taifataifate duniani lenye bajeti ya mwaka mzima inayofikia $ bl.1.5
Watz wengine sijui wana nini vichwani kuna mwingine kijiweni akaanza kuleta story za mbona diamond ana utajiri wa $billion 8..h
 
Hua wanaishia kulalamika tu...kuna shida gan kukonvert currency ya usd to tsh...ina mana ni kitu kizito na ambacho hakiwezekani katika dunia hii [emoji23][emoji23][emoji6][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana
Kuna watu walalamishi haoo!!.

halafu wavivu hatari!
 

Hapo red unapasomaje? Hiyo ni milioni 750 au kitu gani? Bora ungeandika kwa maandishi kuliko number.
 
sikudhania etii!!

hata mimi mkuu ukizingatia kaacha game tokea kitambo sana,nafikiri recording label yake ndiyo itakuwa inampa maisha,na hata hivyo atakuwa na displin nzuri sana kwenye matumizi ya mkwanja wake
 
Sio $ Million....au $ Trillion....?
 
hata mimi mkuu ukizingatia kaacha game tokea kitambo sana,nafikiri recording label yake ndiyo itakuwa inampa maisha,na hata hivyo atakuwa na displin nzuri sana kwenye matumizi ya mkwanja wake
Mkuu, dr dre ni mfanya biashara mzuri ...alikua na headphones zake alikua akiziita Beata by Dr Dre lakin baadae akauza kwa kampuni ya Apple hapa ndo alipiga pesa ndefu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…