Picha: List mpya ya top 5 marapa matajiri 2016

Picha: List mpya ya top 5 marapa matajiri 2016

Mkuu unapost na wewe uonekane umepost au vipi kaka[emoji15] ....Dr Dre akiwa aged 16 alishamtemesha mtu mate wewe unasema hana mtoto?u must be kidding dude!
Soma gugo inachokisema kumhusu jamaa
1475692417607.jpg

dokta dre hana hata mtoto wa kusingiziwa ana matatizo gani?
 
Sasa wajameni ile list ilikua ya mwezi wa MAY 2016 nimepata list ya SEPTEMBER 2016...na ni kama ifuatavyo....

20. Rick Ross -- 10$million

20. Ludacris --10$million

19. Swizz Beatz -- 10.5$million

18. Eminem -- 11$million

17. Snoop Dogg-- 12.5$million

14. Ryan Lewis-- 14$million

14. Lil Wayne -- 14$ million

14. J.Cole -- 14$million

13. Asap Rocky -- 14.5$million

12. Dj Khaled -- 15$million

11.Kanye West --17.5$ million

10. Birdman -- 18$million

9.KendricLamar-18.5$million

8.PharelWilliams-19.5$million

7. Pitbull -- 20$million

6. Nicki Minaj -- 20.5$million

5. Wiz Khalifa -- 24$million

4. Drake -- 38.5$million

3. Dr.Dre -- 41$million

2. Jay Z -- 53.5$million

1. P. Diddy -- 62 $million
Didy, jigga awana pesa za madafu ivyo
 
Dola milioni 14 ambazo ni bilioni 30 na milioni 500 pesa za kitanzania ni pesa ndogo kumbe [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Sio ndogo kwangu bruh ila izo ni pesa ambazo mtu kama wayne ilikuwa ni utajiri kwake labda 2008
 
Mjasiriamali wa brazilian hair Nikki wa pili mbona simuoni.Hiyo listi ni ya uongo.
 
Duuu hizo figure ni kuhusu Cash alizonazo au pamoja Mali zingine maana kama ni hivyo mbona sioni kama ni ela nyingi...
Dogo unakula vumbi bongo unasema1.5 Trilion sio hela nyingi? Wabongo bana!

Izidishe mara 2100 hiyo pesa,upate pesa ya madafu.
 
Wapi KR muller cd700 ????
Nasikia na yeye ana mkwanja wakutosha...
 
Naona Diddy karudi nafasi yake tena. Na pia drake kamuondoa nadhan alikua 50 cent nafas yake hio ya 5.

5. Drake--Utajiri wa Bilioni 126 Tsh.

4. Birdman--Utajiri wa Bilion 231 Tsh.

3.Jay Z -- Utajiri wa Trilioni 1.2 Tsh.

2. Dr. DRE --Utajiri wa Trilioni 1.4 Tsh.

1.P.Diddy -- Utajiri wa Trilioni 1.5 Tsh.

Mpangilio wa PICHA kuanzia namba 5 hadi 1.

View attachment 412567
View attachment 412568
View attachment 412569
View attachment 412570
View attachment 412571
Mimi wala siziaminigi hizo statistics za utajiri wao ni usanii juu ya usanii eti trillion 1.5



[emoji817]
 
Mbona Hawa marapper masikini sana mweee.
Yaani tajiri kabisa ana trillion 1.5 tu?
Aibu kwao
Trillion moja ni million 10,000 mara million 10,000 ata kama pesa yetu ni ya madafu huwezi kunidanganya hao wasanii wana huo utajiri labda kama pia wana viwanda.



[emoji817]
 
Mkuu bora ungeweka tu kwenye USD! Maana naona hizo figure ulizoweka nikizirudisha kwenye dola kama umewapunja baadhi, mfano Diddy
Kama unaona amewapunja watumie kwenye mpesa pesa zao [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]



[emoji817]
 
Acha hizo.....
Unaijua $ 1.5trillion kweli?...hakuna mtu amewahi kuimiliki hapa duniani hata Billgate hajawahi kuwaza atakuja kama kumiliki kiasi hicho cha hela
Wakina Rockefeller na Rothschild wanazimiliki hizo sababu wao ndio wanaoprint hizo karatasi.
 
Huyo mdosi anapesa ya kula tuu mbele ya Pdidy. Labda birdman na drake ndo kawazidi mpunga.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hiyo source ya utajiri wake kakupa bank kuu ya marekani nini?
Wasanii wetu nao wamejifunzia kwao kwenye kuongeza zeroes




[emoji817]
 
Back
Top Bottom