Picha: List ya muvi zitakazotoka mwaka huu 2019

e2f0424fb97927479d4e14f86ba96201.jpg
e7630d096466386a286cca572121f341.jpg
4310ca81887a8472b9dc4a3b3566c71f.jpg
b53e79eb7ca616cc3e85b6199f562ac4.jpg
845c6e400a8b4932ac4b58584502878f.jpg
3c9b108cf23861457387572e4211245d.jpg

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
hizi zote matata kuzisubiri!!..
 
Wick
Kuna hii kitu inaitwa Triple Threat aisee moto wake usiuchezee ni kizazi kipya cha mkongoto kimewekwa pamoja.. tupa kule akina don, jet li, Jack chan etc..
Habri ya mjini ni Iko Uwais..!!
Humu yumo
Scott adkins
Michael J white
Tony Jaa
Iko uwais kama ulivyoona moto wake kwenye Mile22, Headshot, The Raid etc..
Tiger Chen nadhani ulimwona moto wake kwenye The man Of Tai Chi na The Matrix akicheza ile nafasi ambayo Jet li aliikataa. (Nimemsahau jina lake kwenye muvi)
d5e0f8ebb3b13ee57e78c90a658a1fc8.jpg

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Inaitwaje hiyo movie?

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
John Wick chapter 1 (2014)
John Wick Chapter 2 (2017)
John Wick Chapter 3 (2019)
Zimechezwa na Keanu Reeves aliyecheza muvi za The Matrix, The Matrix reloaded na The Matrix Revolution

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Nimeona lakini kuna kusahau.
Hivyo ikitoka tushtuane hapa hapa kwenye huu uzi

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Usijali mrembo wangu

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
John Wick chapter 1 (2014)
John Wick Chapter 2 (2017)
John Wick Chapter 3 (2019)
Zimechezwa na Keanu Reeves aliyecheza muvi za The Matrix, The Matrix reloaded na The Matrix Revolution

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Kwa hiyo ili nipate ladha nianze chapter 1?

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
 
Kwa hiyo ili nipate ladha nianze chapter 1?

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Kama utapenda japo story zake sio mwendelezo.. kama hupendi kuona mauaji usiangalie

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Kama utapenda japo story zake sio mwendelezo.. kama hupendi kuona mauaji usiangalie

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Mauwaji ya kuchinjana au risasi?
Ya kuchinja ndiyo naogopa

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
 
Mauwaji ya kuchinjana au risasi?
Ya kuchinja ndiyo naogopa

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Risasi mzee mama.. pia mapigano. Maana John wick ni hitman anayetumwa kufanya mauaji

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Wick
Kuna hii kitu inaitwa Triple Threat aisee moto wake usiuchezee ni kizazi kipya cha mkongoto kimewekwa pamoja.. tupa kule akina don, jet li, Jack chan etc..
Habri ya mjini ni Iko Uwais..!!
Humu yumo
Scott adkins
Michael J white
Tony Jaa
Iko uwais kama ulivyoona moto wake kwenye Mile22, Headshot, The Raid etc..
Tiger Chen nadhani ulimwona moto wake kwenye The man Of Tai Chi na The Matrix akicheza ile nafasi ambayo Jet li aliikataa. (Nimemsahau jina lake kwenye muvi)
d5e0f8ebb3b13ee57e78c90a658a1fc8.jpg

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
hii inatoka lin mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wick
Kuna hii kitu inaitwa Triple Threat aisee moto wake usiuchezee ni kizazi kipya cha mkongoto kimewekwa pamoja.. tupa kule akina don, jet li, Jack chan etc..
Habri ya mjini ni Iko Uwais..!!
Humu yumo
Scott adkins
Michael J white
Tony Jaa
Iko uwais kama ulivyoona moto wake kwenye Mile22, Headshot, The Raid etc..
Tiger Chen nadhani ulimwona moto wake kwenye The man Of Tai Chi na The Matrix akicheza ile nafasi ambayo Jet li aliikataa. (Nimemsahau jina lake kwenye muvi)
d5e0f8ebb3b13ee57e78c90a658a1fc8.jpg

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Iko uwas nimemkubali kwenye mile 22 katisha sana!..
 
Mkuu sio kwamba Shazam ina maudhui kama Deadpool

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Hapana Shazam ni dogo flani akitamka neno SHAZAM anageuka kuwa mkubwa!. Hilo s.h.a.z.a.m ni herufi za miungu, nilisikia kuwa Black Adam atakuwepo sasa sijui kweli.
Deadpool muhuni sana yule jamaa, ukiwaweka pamoja shazam mshamba! [emoji23]
 
Back
Top Bottom