Picha: Luhaga Mpina akiondoka Bungeni akitazamwa na Bashe. Je, kamuachia Mungu?

Picha: Luhaga Mpina akiondoka Bungeni akitazamwa na Bashe. Je, kamuachia Mungu?

toriyama

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2014
Posts
1,139
Reaction score
2,223
Picha ya Mhe. Luhaga Mpina akiondoka Bungeni akitazamwa na Bashe kwa woga. Je, Mpina kamuachia Mungu?

Refer issue ya Musiba.

20240625_151151.jpg

IMG-20240625-WA0089.jpg
 
Picha ya Mhe. Luhaga Mpina akiondoka Bungeni akitazama na Mhe. Bashe kwa Woga.. Je mpina kamuachia Mungu?
View attachment 3025822
Refer issue ya Musiba
Musiba na Membe au?

By the way, kufungiwa vikao 15 ndo kutolewa uhai au nini? Bloody f kabisa. Pole Mhe.Mpina kwa kujaribu kuliamsha Shithole Legislature na kuishia kuadhibiwa.
 
Hii picha inatuma ujumbe..

Hawa ni waandamanaji wa Kenya waliofanikiwa kuvuka vizuizi vya polisi hadi kuchoma section kadhaa za ukumbini na hata kujipakulia chakula na kuharibu vitu.

Watawala wa Tanzania mnajifunza??

Mnajua kuna "threshold " ikifika hata bungeni hata hapatokalika.

Tafakarini sio mnakula kodi za raia.
IMG_20240625_153753.jpg
 
View attachment 3025871
By that time watakimbilia nje, but yes kuna threshhold in everything, when red line crossed there is no going back
 
Back
Top Bottom