Nyamwi255
JF-Expert Member
- Dec 2, 2022
- 4,848
- 12,776
Mwenyewe ndo nimenunua smartphone saa hii!
Kuna nini jamani ndio naingia online
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna nini jamani ndio naingia online
Exactly u got my point.By that time watakimbilia nje, but yes kuna threshhold in everything, when red line crossed there is no going back
Yeye mbunge WA wasukuma KisesaMpina amejifunza kitu, mtanzania sio mtu wa kumtetea, amewnda front kageuka nyuma kajikuta mwenyewe, wamemgeuka
Picha: Mhindi na msomali wanachekelea moyoni msukuma katolewa bungeni kwa kufichua hila zao kuwanyonya wananchi wazawa. Walaaniwe chawa wote. Huyo mbunge mzawa bila shaka anatafakari akiwa na hofu juu ya hatima ya tanzania chini ya uongozi wa wahuni.Picha ya Mhe. Luhaga Mpina akiondoka Bungeni akitazama na Mhe. Bashe kwa Woga.. Je mpina kamuachia Mungu?
View attachment 3025822
Refer issue ya Musiba
Lukuvi anacheka kimtindoPicha ya Mhe. Luhaga Mpina akiondoka Bungeni akitazama na Mhe. Bashe kwa Woga.. Je mpina kamuachia Mungu?
View attachment 3025822
Refer issue ya Musiba
mmoja kati ya wanawake ninao wachukie mmoja wapo ni huyy
AliFariki mwaka juzi mama wa watu,alikuwa mzee wa kanisa😂 😂 😂
MAMA yake Luhaga ni Mganga wa Kienyeji
lakini lissu anauguwa nini baada ya kutaka kuionja sumu ya mbowe mwenyekiti hahaaaaa sumu haionjwi chadema mko vizuri sana maji mnaachianaWanaccm hawaachiani Maji ya kunywa mezani-Kikwete
Akitazamana Kwa Woga?.Picha ya Mhe. Luhaga Mpina akiondoka Bungeni akitazama na Mhe. Bashe kwa Woga.. Je mpina kamuachia Mungu?
View attachment 3025822
Refer issue ya Musiba
Bashe kayatimba 🤣🤣🤣Akitazamana Kwa Woga?.
Yaan mpina, awe ni Mwoga?? 😂😂😂😂
Tena nyavu zingetumika hata kufugia kuku au kuwaelimisha wazitumie kwenye ufugaji samaki, wasizigtumie kwenye ziwa au bahari wazi.KIpindi kuna uhaba wa sukari na bei kupanda wananchi wanateseka alikuwa kanyamaza kimya, Waziri kapambana hadi kutoa vibali kuleta unafuu anakuja kutuambia vibali walipewa wauza nguo, ndio wauza nguo ila kama wameweza kutuletea sukaro tukapata ahueni kwa ruhusa ya muda yeye shida yake nini, au kwa vile wanaomtuma walitaka waendelee kutuchezea wapige faida kwenye shida ya sukari. Atuondelee ujinga
Yeye alivyohoma nyavu za wavuvi badala ya kuandaa mpango kuwaelimisha na kuwawezesha uvuvi sahihi hakuona wale wanyonge?
"figisu" ipi aliyofanyiwa?Mpina ni shujaa, kusemwa na kufanyiwa figisu ni hali za kawaida kwa mashujaa wa kweli, naamini hatokata tamaa na ataendelea na mapambano.
Huijuwi damu ya Kisomali wewe, watazame hivyo hivyo. Hao wanaitwa "warriors", hawana kitu kinaitwa uoga katika genes zao.Bashe ndie anaogopa