Ngisibara
JF-Expert Member
- Jan 2, 2009
- 3,387
- 2,245
Lukuvi anacheka kimtindo
Na Mie nashangaa Lukuvi kufurahi vile kwanini? Au na Luhaga naye aliwahi kufurahi wakati Lukuvi ananyang'anywa uwaziri wa Ardhi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lukuvi anacheka kimtindo
"Chuki” zipi binafsi?"figisu" ipi aliyofanyiwa?
Kila kitu kimewekwa wazi kabisa. Huyo kayuakanyaga kwa chuki zake kwa kuendeshwa na chuki zake binafsi.
nani ni muhindi bandia?,kwanini unakosa heshima na adabu kwa binadamu mwenzio?Hako ka-muhindi bandia kamekuwaje siku hizi?
ukweli upi?Hamna anajua ukweli unadhani samia alivyomtoa kwenye wizara alifurahi?
Kampuni ya kuuza vocha kuagiza sukari"figisu" ipi aliyofanyiwa?
Kila kitu kimewekwa wazi kabisa. Huyo kayuakanyaga kwa chuki zake kwa kuendeshwa na chuki zake binafsi.
Media zenye akili zingemgombania Mpina kufanya nae interview ya more than 1hr lakin media zimejawa uchawa zipo ziiii!Bongo banaUkiisoma hiyo picha nyuso zao. Ni Mpina anamwambia unajua ukweli na utahukumiwa na Mungu. Na Bashe ni kama anasema nisamehe Kaka, hizi siasa na nimekukosea kwa wewe kusema ukweli. Picha zinaongea....
Humpi "POLE" mtu aliye timiza jukumu lake kishujaa, unampa "PONGEZI".Musiba na Membe au?
By the way, kufungiwa vikao 15 ndo kutolewa uhai au nini? Bloody f kabisa. Pole Mhe.Mpina kwa kujaribu kuliamsha Shithole Legislature na kuishia kuadhibiwa.
Sura ya mzee lukuvi umeiona lakiniUkiisoma hiyo picha nyuso zao. Ni Mpina anamwambia unajua ukweli na utahukumiwa na Mungu. Na Bashe ni kama anasema nisamehe Kaka, hizi siasa na nimekukosea kwa wewe kusema ukweli. Picha zinaongea....
Msigwa na Sugu, au Lissu na huyo tapeli aliyehongwa na mama abdul wanaweza kuachiana maji ya kunywa?Wanaccm hawaachiani Maji ya kunywa mezani-Kikwete
U mkalimani mzuri sana mkuu,umegusa pale paleUkiisoma hiyo picha nyuso zao. Ni Mpina anamwambia unajua ukweli na utahukumiwa na Mungu. Na Bashe ni kama anasema nisamehe Kaka, hizi siasa na nimekukosea kwa wewe kusema ukweli. Picha zinaongea....
Bashe yuko makini kinoma!!! anahisi anaweza kutandikwa ngumi jiwe ya mwisho mwisho!!!! 🤣 🤣 🤣Picha ya Mhe. Luhaga Mpina akiondoka Bungeni akitazamwa na Bashe kwa woga. Je, Mpina kamuachia Mungu?
Refer issue ya Musiba.
View attachment 3025822
View attachment 3025933
Mpina amejifunza kitu, mtanzania sio mtu wa kumtetea, amewnda front kageuka nyuma kajikuta mwenyewe, wamemgeuka
Vijana wamefanikiwa kuona na kuonja nation cake hawaamini macho yao.Hii picha inatuma ujumbe..
Hawa ni waandamanaji wa Kenya waliofanikiwa kuvuka vizuizi vya polisi hadi kuchoma section kadhaa za ukumbini na hata kujipakulia chakula na kuharibu vitu.
Watawala wa Tanzania mnajifunza??
Mnajua kuna "threshold " ikifika hata bungeni hata hapatokalika.
Tafakarini sio mnakula kodi za raia.
View attachment 3025871
Inasemekana Mpina amelia sana nje ya ukumbi wa bunge jana, watu wakawa wanambembeleza, amelia kwa kwikwi na jasho likimtokaPicha ya Mhe. Luhaga Mpina akiondoka Bungeni akitazamwa na Bashe kwa woga. Je, Mpina kamuachia Mungu?
Refer issue ya Musiba.
View attachment 3025822
View attachment 3025933
Ila uso wa mh lukuvi una ashiria yupo kwenye Tafakari kali sana.Picha ya Mhe. Luhaga Mpina akiondoka Bungeni akitazamwa na Bashe kwa woga. Je, Mpina kamuachia Mungu?
Refer issue ya Musiba.
View attachment 3025822
View attachment 3025933