Picha: Luhaga Mpina akiondoka Bungeni akitazamwa na Bashe. Je, kamuachia Mungu?

Picha: Luhaga Mpina akiondoka Bungeni akitazamwa na Bashe. Je, kamuachia Mungu?

Wakati kuna shida ya sukari ulilalamika, tatizo limetatuliwa unalalamika kwa nini muuza nguo kapewa kibali cha kuagiza sukari. Hivi wewe mwenyewe unaelewa unachoongea? Yani shida ya sukari imetatulia ila unalalamika aliyeingiza sukari huwa biashara yake ni kuuza nguo. huu ni ujinga wa kiwango cha lami
Shida ya sukar imetengenezwa na hao wanaojidai watetez wetu, amka brother.
 
Back
Top Bottom