KIpindi kuna uhaba wa sukari na bei kupanda wananchi wanateseka alikuwa kanyamaza kimya, Waziri kapambana hadi kutoa vibali kuleta unafuu anakuja kutuambia vibali walipewa wauza nguo, ndio wauza nguo ila kama wameweza kutuletea sukari tukapata ahueni kwa ruhusa ya muda yeye shida yake nini, au kwa vile wanaomtuma walitaka waendelee kutuchezea wapige faida kwenye shida ya sukari. Atuondelee ujinga
Yeye alivyochoma nyavu za wavuvi badala ya kuandaa mpango kuwaelimisha na kuwawezesha uvuvi sahihi hakuona wale wanyonge?