Picha: Luhaga Mpina akiondoka Bungeni akitazamwa na Bashe. Je, kamuachia Mungu?

Picha: Luhaga Mpina akiondoka Bungeni akitazamwa na Bashe. Je, kamuachia Mungu?

Ukiisoma hiyo picha nyuso zao. Ni Mpina anamwambia unajua ukweli na utahukumiwa na Mungu. Na Bashe ni kama anasema nisamehe Kaka, hizi siasa na nimekukosea kwa wewe kusema ukweli. Picha zinaongea....
Mama bhana [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hiyo picha ndio inaonyesha power ya media ikiamua kutengeneza narrative (perspective) wanavyotaka wao na kupotosha.

Uhalisia ni kwamba ukiangalia video Mpina wakati anatoka Bashe alikuwa na huruma kabla ajafika kwakuwa yeye alikuwa amekaa mbele mlango akawa amegeuka kabla Mpina ajafika amwanbie kitu (more likely kumpa pole).

Mpina akutegemea kumkuta Bashe mlangoni akastuka kidogo akutaka kumuangalia usoni (bila ya kuelewa dhamira ya Bashe) na kupitiliza hadi mlango.

si kwamba fisadi Bashe aligeuka maliciously, mwisho nadhani yeye mwenyewe akupenda mipasho aliopewa Mpina (ukiangalia body language ya Bashe wakati Mpina anatoka) kuna maneno alisema ya kumfariji.

Mafisadi yalijua yanachofanya wakamuweka Bashe mlangoni, ni kama vile kumwambia Mpina utatoka wewe bungeni sio Bashe.

The whole thing was tasteless
Mtu makini anaweza kujiuliza swali hili, kwa nini Bashe alikaa siti ya nyuma tofauti na utaratibu wabunge wa Mawaziri kukaa sehemu za mbele
 
"figisu" ipi aliyofanyiwa?

Kila kitu kimewekwa wazi kabisa. Huyo kayuakanyaga kwa chuki zake kwa kuendeshwa na chuki zake binafsi.
Kwa nini mtu akiwakosoa inakuwa chuki binafsi? Akiwa chawa ni upendo public? 🤣
 
Mtu makini anaweza kujiuliza swali hili, kwa nini Bashe alikaa siti ya nyuma tofauti na utaratibu wabunge wa Mawaziri kukaa sehemu za mbele
Sio kukaa kiti cha nyuma tu. alikuwa mbele ya mlango ilikuwa lazima waonane na Mpina akitoka.

Ukiangalia ni utoto tu mwanzo mwisho, session nzima ilikuwa na lengo moja tu kumsakama Mpina.
 
Ni mtanzania Tanzania ina makabila mengi wakiwemo wahindi,waaarabu na wasomali na ni watanzania asilimia 100 ndio maana hadi bungeni wapo

Acha ujinga
Hao wasomali ni kabila linalopatikana wapi hapa tanganyika? Halipo kwenye yale makabila 120 kadhaa ya nchi hii aya jipange upya alafu urudi blood f****
 
Hao wasomali ni kabila linalopatikana wapi hapa tanganyika? Halipo kwenye yale makabila 120 kadhaa ya nchi hii aya jipange upya alafu urudi blood f****
Hilo tatizo la wajinga waandika vitabu vya history wanaosema Tanzania ina makabila 120 huku inasahau wahindi,waaarabu ,wapemba na wasomali nk

Unajua sasa Hivi kuna makabila matatu yameongezeka ya wahutu,watwa na Watusi ? Baada ya kuwapa uraia wahutu ,Watusi na watwa 250,000 waliokuwa kwenye makambi ya wakimbizi na kuwapa uraia WA Tanzania kipindi cha kikwete

Uko so outdated na history
 
Sio kukaa kiti cha nyuma tu. alikuwa mbele ya mlango ilikuwa lazima waonane na Mpina akitoka.

Ukiangalia ni utoto tu mwanzo mwisho, session nzima ilikuwa na lengo moja tu kumsakama Mpina.
Hawana hasara hata nchi ikibaki mfupa mtupu. We need a benevolent Dictator to get rid of this malicious tenderprenuership system.
 
Mpina amejifunza kitu, mtanzania sio mtu wa kumtetea, amewnda front kageuka nyuma kajikuta mwenyewe, wamemgeuka
Hakuna kabila jinga kama matanzania! Yamemwacha Mpina akiwa Mpina kwelikweli! Mpina kwa Kisukuma ni "Mkiwa"
 
Hao wasomali ni kabila linalopatikana wapi hapa tanganyika? Halipo kwenye yale makabila 120 kadhaa ya nchi hii aya jipange upya alafu urudi blood f****
Hata wewe hujaja kabla yao. Soma kijana.

Unafahamu maana ya Cushite Nomads?
 
Hilo tatizo la wajinga waandika vitabu vya history wanaosema Tanzania ina makabila 120 huku inasahau wahindi,waaarabu ,wapemba na wasomali nk

Unajua sasa Hivi kuna makabila matatu yameongezeka ya wahutu,watwa na Watusi ? Baada ya kuwapa uraia wahutu ,Watusi na watwa 250,000 waliokuwa kwenye makambi ya wakimbizi na kuwapa uraia WA Tanzania kipindi cha kikwete

Uko so outdated na history
Jibu swali hilo kabila la wasomali linapatikana mkoa gani hapa tanganyika? Hao wanahistoria na wewe unadhani nani anajua vizuri makabila ya tanganyika?hao wahindi,waarabu na wasomali unawaona wajinga kwa wao kukaa kimya kwamba hawajawa included? Kama ni rahisi ivyo basi tuwajumuishe na wa khosa, waigbo na wazulu nao wapatikane tanganyika
 
Hata wewe hujaja kabla yao. Soma kijana.

Unafahamu maana ya Cushite Nomads?
Hao cushite nomads nawafahamu sana tena kabla ya wewe kuvuka maji kuja tanganyika. Katika cushites wanaopatikana tanganyika hao wasomali hawapo, niambie hili kabila la wasomali linapatikana wapi hapa tanganyika?
 
Back
Top Bottom