Teslarati
JF-Expert Member
- Nov 21, 2019
- 2,621
- 10,466
Watu wameaga kwao mzeeπππ
Ule mkono uliomunyoshea Zitto kumwambia Wewe ni muongo ulikufa kabisa πππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wameaga kwao mzeeπππ
Ule mkono uliomunyoshea Zitto kumwambia Wewe ni muongo ulikufa kabisa πππ
Tumuulize Kikwete maana hiyo kauli ya CCM hawaachiani maji mezani aliitoa yeye, hakuzungumzia kuhusu Sugu , msigwa wala Lissu.Msigwa na Sugu, au Lissu na huyo tapeli aliyehongwa na mama abdul wanaweza kuachiana maji ya kunywa?
Masikini Bashe anaogopa na kutetemeka πππ
...... Siasa Zina mengiUkiisoma hiyo picha nyuso zao. Ni Mpina anamwambia unajua ukweli na utahukumiwa na Mungu. Na Bashe ni kama anasema nisamehe Kaka, hizi siasa na nimekukosea kwa wewe kusema ukweli. Picha zinaongea....
DahHii picha inatuma ujumbe..
Hawa ni waandamanaji wa Kenya waliofanikiwa kuvuka vizuizi vya polisi hadi kuchoma section kadhaa za ukumbini na hata kujipakulia chakula na kuharibu vitu.
Watawala wa Tanzania mnajifunza??
Mnajua kuna "threshold " ikifika hata bungeni hata hapatokalika.
Tafakarini sio mnakula kodi za raia.
View attachment 3025871
It is a milestoneMusiba na Membe au?
By the way, kufungiwa vikao 15 ndo kutolewa uhai au nini? Bloody f kabisa. Pole Mhe.Mpina kwa kujaribu kuliamsha Shithole Legislature na kuishia kuadhibiwa.
Kutokufanya kazi zinazohusu Bunge ndiyo nini?
Kilichomliza nini na yeye alijimwambafai?Inasemekana Mpina amelia sana nje ya ukumbi wa bunge jana, watu wakawa wanambembeleza, amelia kwa kwikwi na jasho likimtoka
Basi ni hatari, ameweza kuleta hata mvua za elnino?Bashe Ametengeneza Upungufu wa Sukari Makusudi Ili Alete yake baada ya Bei Kupanda.
Mbona haujauona huo ukweli? Au upo aliokiupa wewe zaidi ya ule alioiufikisha bungeni?Mpina kawaambia ukweli - tatizo Serikari ya CCM huwa haitaki kukosolewa within. Yaleyale yaliyomkuta Mzee wa Nazaleti.
Hajafurahi, anajichekesha tu, ni "guilty conscious" ile, anafahamu kuwa watu washamfahamu kuwa yeye ndie mchochezi mkuu.Na Mie nashangaa Lukuvi kufurahi vile kwanini? Au na Luhaga naye aliwahi kufurahi wakati Lukuvi ananyang'anywa uwaziri wa Ardhi?
Tuhesabu maumivu ya huyu kilaza anayeitwa tulia
Vipi Hoja Kuhusu Uhalali wa Stationery kupewa kibali cha Sukari kinyume na Sheria?Mbona haujauona huo ukweli? Au upo aliokiupa wewe zaidi ya ule alioiufikisha bungeni?
Nilimshangaa alipojitetea kwenye kamati kuwa ule alioongea na waandishi wa habari siyo ushahidi bali aliouleta bungeni ndiyo ushahidi.
Unapata picha ipi hapo?