FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Hapo ndipo mwisho wako wa kufikiri ulipofikia, kwenye uchawi na kurogwa?Aliyeturoga sisi, yaani watz sisi ni zaidi ya wafu.
Unazidi kuniaminisha kuwa ulienda shule kusomea ujinga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo ndipo mwisho wako wa kufikiri ulipofikia, kwenye uchawi na kurogwa?Aliyeturoga sisi, yaani watz sisi ni zaidi ya wafu.
Heshima niliyokuwa nakupa wewe, bora nikampe hata KENGE.Hapo ndipo mwisho wako wa kufikiri ulipofikia, kwenye uchawi na kurogwa?
Unazidi kuniaminisha kuwa ulienda shule kusomea ujinga.
Yamekuingia ndiyo maana umekuja na povu.Heshima niliyokuwa nakupa wewe, bora nikampe hata KENGE.
Wewe uliyesoma umeshindwa kupata maana(ujumbe) uliobebwa na hayo maneno!!! , kusema kurogwa unadhani namaanisha kuna mtu kaenda kwa mganga kuroga watanzania..!!!
Punguza ujuaji wa kijuha we ajuza, wengine huwa tunakwepa lugha zisizo na staha sababu tunajua JF ni jalala, unaweza toa lugha ngumu kwa mzee wako, dada yako na hata ikiwa na mdogo wako haina haja ya kutoa lugha mbovu.
Ignore list.
Hivi hoja za Mpina zimejibiwa?Je, Mpina kamuachia Mungu?
ccm ndo mchawi wa waTanzania.Hapo ndipo mwisho wako wa kufikiri ulipofikia, kwenye uchawi na kurogwa?
Unazidi kuniaminisha kuwa ulienda shule kusomea ujinga.
ujakosea, hata Pele aliitwa mchawi wa soka Brazil, akja kurithi jina mchawi {gaucho).ccm ndo mchawi wa waTanzania.
Stori za hapa jimbo la Kisesa, ambalo ndio jimbo la Mpina, ni keamba Mpina baada ya kushinda uchaguzi, alimdhulumu mganga wake hela. Sasa mganga wake kampiga salala(nuksi kali). Pia mganga kahamia kwa mpinzani wa Mpina ndani ya chama.M
Pina ni mwenyekiti wa GAMBUSHI
Una tapatapa.Jifundishe kuandika ueleweke.
Mpina hajambo?Una tapatapa.
Basi mganga yupo vizuri maana kampa Mpina uelewa na Uzalendo mkubwa sana dhidi ya genge la wahuni. Hoja za Mpina hazijajibiwa.Stori za hapa jimbo la Kisesa, ambalo ndio jimbo la Mpina, ni keamba Mpina baada ya kushinda uchaguzi, alimdhulumu mganga wake hela. Sasa mganga wake kampiga salala(nuksi kali). Pia mganga kahamia kwa mpinzani wa Mpina ndani ya chama.
Bashe hajambo?Mpina hajambo?
Hongera mpinaMpina kashinda
hawakumtendea Haki Mheshimiwa Mbunge Mpina na Wamemuonea kwa sababu amesema ukweli. Bunge la chama kimoja ndio hukumu yake ama kweli nchi yetu Haina Demokrasia ya ukweli. Ukimkosoa Waziri Muhusika unaondolewa katika vikao vya bunge Mungu atamlipia Mheshimiwa mpina Kwa yale bunge waliyomtendea amin. Mheshimiwa Mpina ni msema ukweli na ukiwa msema mkweli unapigwa vita na maaduwi wengi sana. kwenye Serikali ya CCM Ukimuondoa Rais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na Jaji Mkuu hakuna hata mmoja aliyekuwa ni msafi.
😳😳😳😳😳😳😳Stori za hapa jimbo la Kisesa, ambalo ndio jimbo la Mpina, ni keamba Mpina baada ya kushinda uchaguzi, alimdhulumu mganga wake hela. Sasa mganga wake kampiga salala(nuksi kali). Pia mganga kahamia kwa mpinzani wa Mpina ndani ya chama.
Tumpe maua yakeHongera mpina
Wakati kuna shida ya sukari ulilalamika, tatizo limetatuliwa unalalamika kwa nini muuza nguo kapewa kibali cha kuagiza sukari. Hivi wewe mwenyewe unaelewa unachoongea? Yani shida ya sukari imetatulia ila unalalamika aliyeingiza sukari huwa biashara yake ni kuuza nguo. huu ni ujinga wa kiwango cha lamiAcha uchawa wewe kubwa jinga, nyavu zilizochomwa zilikuwa hazikidhi vigezo.