Picha: Lulu Michael ndani ya Nollywood (Nigeria)

Ni ngumu kucontrol emotions, mie tu nimejikuta nalia naye. Ni kitu ambacho amekitamani kwa siku nyingi na ni kikubwa kwake, sishangai mtu akilia. Richie tu mtu mzima lakini kama alidata fulani. Machozi ya furaha...
Binafsi amenifanya nifurahi nae.... kweli machozi ya furaha. Ila hayatoki kirahisi atii
 
Binafsi amenifanya nifurahi nae.... kweli machozi ya furaha. Ila hayatoki kirahisi atii
Hahaha machozi ya furaha yanakuja tu naturally, hutojua ni muda gani umeanza kulia, mwingine halii ila anajikuta tu speechless yani. Hongera kwake na Richie
 
Huu uvaaji wa kuacha matiti nje kwenye hafla kubwa naona kama kuchanganya mambo. Nguo za kwenye Taarab hizi.

Ova
 
Ameshashinda tuzo. Hongera zake.
 
Lets show support to bongo moviz kumbe wanaweza" inapendeza sana wasanii wetu wakipokea Tuzo nje wanaiwakilisha nchi yetu maana kimichezo O basi tujiliwaze na Entertainment issue Moviz/Music tukiwapa support wanaweza fanya more wonders..
Bongoflavor/BongoMovie our own
 
Hongera sana Shikana. Japo huwa sifuatilii Bongo movie tangu kufariki kwa kanumba. Muda mwingine nikikuta mwanangu na dada wa kazi wanaangalia na mie natoa toa macho kidogo hapo. Btw ni muvi gani ilikuwa nominated?
 
Dhamana ya kanumba si ilikua inamzuia kusafiri nje ya nchi?(mojawapo ya masharti ya dhamana yake)

Inamzuia kusafiri bila RUHUSA, sasa kama kafuata taratibu za ruhusa, basi yuko sawa tu.
Kwanza hiyo kesi yenyewe ni kama imeshajifia tu. Kesi inapigwa kalenda hadi miezi saba.
Toka walipofanikiwa kuifanya hii kesi isisikilizwe hadharani wakawa washamaliza kila kitu.
Seki katangulia mbele za haki, lakini alitumika vilivyo kuua hii kesi kwa kutumia pesa zake.
Hukumu ni hapa hapa bwana, naye akaja kuuawa vilevile na mwanamke, kisha akaambiwa kaanguka mwenyewe kwenye meza ya kioo.

Ova
 
Na Wema Sepetu alikua kwenye Category gani?
 
Hongera sana Shikana. Japo huwa sifuatilii Bongo movie tangu kufariki kwa kanumba. Muda mwingine nikikuta mwanangu na dada wa kazi wanaangalia na mie natoa toa macho kidogo hapo. Btw ni muvi gani ilikuwa nominated?
Inaitwa mapenzi
 
Duuh! Kweli Maigizo Yetu Siku Hizi Yamekua Hadi Nje Yanajulikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…