Picha: Lulu Michael ndani ya Nollywood (Nigeria)

Wasanii waganga njaa huwa sina muda nao kabisa
 
Mshukuruni Platnumz.....Dont act like u dont know..,.
 
Hongera zake.

Msaada wakuu
Hivi kesi yake ya mauaji ndo ilishaisha? Nimekuwa mbali na media kidogo sijui nini kiliendelea sorry for that.
 
Hongera zao, bongo movie imeanza kutambulika nje, watoe scene ya mlinzi kichaa kwenye movie zao make inachefua na haileti maana
 
Hongera sana Shikana. Japo huwa sifuatilii Bongo movie tangu kufariki kwa kanumba. Muda mwingine nikikuta mwanangu na dada wa kazi wanaangalia na mie natoa toa macho kidogo hapo. Btw ni muvi gani ilikuwa nominated?
Hivi "shikana" huwa ni jina lake?
 
sasa utawaona wale vijana wanaojifanya kubebesa wanaanza kutuharibia huyu bint ili asipate tena wabongo ss bwana!
 
Anasema alikuwa akitamani kuipata kwa miaka 5 sasa leo ndo imetimiaaaa.. daaaa hongera zake aisee
Ni lulu wa Kenya au wakenya hawakuangalia
 
Wanalia kina Taylor swift na nick minaj sembuse yeye, its something emotional mtu unakua na furaha iliyopitiliza hadi unajikuta unalia.
kwa hiyo watanzania tuna tabia ya kulialia jibu swali acha kurukaruka coz sijaona mwingine akilia pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…