Picha: Lulu Michael ndani ya Nollywood (Nigeria)

Ray vipi mbona ajapewa?Au Bado anakunywa maji Tu
 
Tumsamehe mtoto wa watu maisha yasonge mbele, hata akifungwa kanumba hawezi rudi duniani. By the way marehemu ndo alikuwa na kosa la kutembea na katoto kasikokomaa akili under 18 . Mungu alitoa adhabu yake kwa kitendo hicho maana mshahara wa dhambi ni MAUTI
 
Basata wapowapo tu wanasubiri video zitoke waseme zimekiuka maadili
 
Anastaili kulia kwa maana huja Mara moja au Chache katika Maisha, pia ni mwanamke ambavyo kutoa sauti kama zile ni kawaida!!.Na Sisi tunastahili Machozi kutulengalenga!! Congrats 'lulu' Ritchie'!!!!!!.
 
Mmmmh kwani lulu ameigiza movie gani tena tangu atoe ile ya foolish age jamani???
 
Ooh nilienda kuchungulia Youtube,
Nilitaka na mimi kudondosha chozi,
"it has been a long journey since I was 5 years old, i've been dreaming for this, thank u mama, we made it."
How touching jamani.
She deserve it.
Yeah kamejitahidi katoto ka watu jamani
Richie mwenyewe wkt anachukua tuzo yake alitaka kulia, sema kajikaza kiume.
Umeona eeh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…