Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah kachukua binamu, naona kajikaza tu kulia kwa furaha jamani uuuuuuuhrichie kachukua??
we muache tuu!!haki itatendeka.mimi mwenyewe nimeshangaa, mmh sijui ndo washamalizana juu kwa juu
Anasema alikuwa akitamani kuipata kwa miaka 5 sasa leo ndo imetimiaaaa.. daaaa hongera zake aiseehuyo nae mnafiki tu mbona wenzie hawalii?
Yani kamelia kwa furaha maskini hadi kameniliza, congrats to herLulu katwaa tuzo ya msanii bora wa east Africa. Congrats Elizabeth..
Mkuuu alisubiria kwa hamu sanaaKama diamond naye angekua analia basi ingekua balaa
Binamu na Lulu kachukua tuzo hukurichie kachukua??
She deserve itamenikera alipokuja nyonyo nje!, mtu ukiishavaa kituko hata ukulia kwa furaha na uchungu toka jela hadi tuzo, utaonekana ni usanii tuu wa kuigiza kulia!, na kikweli Lulu ni msanii mzui, hata ile kuigiza kulia machozi pia yakatoka kweli!, Hiki ni kipaji!.
P.
Yeah kamelia Sana ila kamejitaidi Sana consider her age .Yani kamelia kwa furaha maskini hadi kameniliza, congrats to her
Yeah kajitahidi sana maskini. Ila kametokea mbali, miaka 5 uuuhYeah kamelia Sana ila kamejitaidi Sana consider her age .
Ni ngumu kucontrol emotions, mie tu nimejikuta najiliza naye. Ni kitu ambacho amekitamani kwa siku nyingi na ni kikubwa kwake, so sishangai mtu akilia. Richie tu mtu mzima lakini kama alidata fulani. Machozi ya furaha...Mkuuu alisubiria kwa hamu sanaa