The Supreme Conqueror
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 609
- 1,584
PICHA: Luteni Jenerali Mashikilisane Fakudze, Mkuu wa majeshi nchini Eswatini 🇸🇿…
Hakuna mtu hapaPICHA: Luteni Jenerali Mashikilisane Fakudze, Mkuu wa majeshi nchini Eswatini 🇸🇿…
View attachment 3410072
Ila Africa ina shida kubwa sana kwenye vichwa vya viongozi. Haitaweza kupiga hatua yeyote ya maana
Hawa vilaza wengine wanadhani mkuu wa majeshi anapigana yeye kazi zake kutoa plan ukimuona kenda front line basi kahakisha kuna usalama wake kwanza.Unene muda mwingine ni sifa za cell hai ndani ya mtu.
Kwani akiwa mnene hawezi kuwa na maamuzi sahihi kwenye kazi yake?
Mkuu wa majeshi kazi yake kubwa ni kutawala (kupanga na kutoa maamuzi) vitani watakwenda kusimamia ma captains
Hata hivyo na huo ubonge wake anaweza kumtoa mtu makalio.Hawa vilaza wengine wanadhani mkuu wa majeshi anapigana yeye kazi zake kutoa plan ukimuona kenda front line basi kahakisha kuna usalama wake kwanza.
Sio kwa huo msambwandaHata hivyo na huo ubonge wake anaweza kumtoa mtu makalio.
Huyo ni kibonge mwepesi . Ni issue ya seli tu